Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

HITILAFU YA MKONGO WA MAWASILIANO (OPTIC FIBER), YATATIZA HUDUMA ZA TANESCO WILAYANI BAGAMOYO, SHIRIKA LAWAOMBA RADHI WATEJA WAKE

Sehemu ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani NA MWANDISHI MAALUM SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linaendelea kuwatangazia wate...


Sehemu ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani
NA MWANDISHI MAALUM

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linaendelea kuwatangazia wateja wake wote wa Wilaya ya Bagamoyo kuwa, kutokana na kukatika kwa waya wa mawasiliano, (Optic Fiber) kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo, Ofisi ya Shirika hilo wilayani Bagamoyo bado inashindwa kutoa huduma za kupokea malipo na kuuza LUKU kwa muda mpaka hapo waya huo utakapoungwa.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Uhusiano MakaoMakuu yaTANESCO, Kwa sasa Shirika linawaomba wateja wake wanaotaka kununua umeme au kulipia huduma zingine za umeme kutumia njia mbadala ya mitandao ya Simu na makampuni mengine yenye mikataba na TANESCO.


Jitihada zinaendelea ili kuhakikisha mkongo huo wa mawasiliano unaungwa mapema iwezekanavyo.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: HITILAFU YA MKONGO WA MAWASILIANO (OPTIC FIBER), YATATIZA HUDUMA ZA TANESCO WILAYANI BAGAMOYO, SHIRIKA LAWAOMBA RADHI WATEJA WAKE
HITILAFU YA MKONGO WA MAWASILIANO (OPTIC FIBER), YATATIZA HUDUMA ZA TANESCO WILAYANI BAGAMOYO, SHIRIKA LAWAOMBA RADHI WATEJA WAKE
https://1.bp.blogspot.com/-ToN2-bQz1rg/V7r0g-GmG1I/AAAAAAAArtk/aLeXYdr9M60LbDJ2pV9BvosFcWpTNFqiwCLcB/s640/bagamoyo.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-ToN2-bQz1rg/V7r0g-GmG1I/AAAAAAAArtk/aLeXYdr9M60LbDJ2pV9BvosFcWpTNFqiwCLcB/s72-c/bagamoyo.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/hitilafu-ya-mkongo-wa-mawasiliano-optic.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/hitilafu-ya-mkongo-wa-mawasiliano-optic.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago