Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

HALMASHAURI ZASHAULIWA KUCHKUA MADAWATI,WAKISHINDWA WATAFANYA NJIA MBADALA YA KUGAWA KWA WATU WENYE MAHITAJI

  WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Wizarani hapo, kuhusiana...

 WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Wizarani hapo, kuhusiana na ukamilishwaji wa zabuni ya Madawati waliokuwa wamepewa
Baadhi ya Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi,alipokuwa akizungumza nao mapema leo Wizarani hapo kuhusiana na ukamilishwaji wa zabuni ya Madawati waliokuwa wamepewa.PICHA NA MICHUZI JR
--  
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi ametaka majimbo amabayo yana madawati katika jeshi la kujenga taifa wayachukue kutokana na kuendelea kuwepo yanaweza kuharibika kutokana na kupigwa na jua au kunyeshewa na mvua.
 
Akizungumza na waandishi habari leo, Mwinyi amesema kuwa madawati hayo yanatakiwa kuondoka hadi Agasti 30 bila kufanya hivyo watayagawa katika majimbo mengine.

Amesema kuwa zabuni ambayo walipewa na serikali wamefanya kwa muda mwafaka na kutaka wanaohusika kuchukua madawati hayo kutoa nafasi ya madawati mengine 10,000 kutengenezwa kabla mwezi huu ambayo ndio ukomo wa zabuni hiyo katika kuhakikisa wanafunzi wote wanakaa juu ya madawati hayo.

Dk. Mwinyi amesema kuwa madawati hayo yamekaa kwa muda mrefu bila kuchukuliwa na majimbo husika kutokana na mahitaji yao walioanishwa.

Amewataka wabunge na Halmashauri zao kuhakikisha wanachukua madawati hayo, majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mbeya Mjini,Kilindi, Pangani, Makambako Ludewa, Wanging'ombe ,Tunduru ,Mbeya vijijini ,Kyela Rungwe ,Songwe Nkasi Kazini na Nkasi Kusuini.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: HALMASHAURI ZASHAULIWA KUCHKUA MADAWATI,WAKISHINDWA WATAFANYA NJIA MBADALA YA KUGAWA KWA WATU WENYE MAHITAJI
HALMASHAURI ZASHAULIWA KUCHKUA MADAWATI,WAKISHINDWA WATAFANYA NJIA MBADALA YA KUGAWA KWA WATU WENYE MAHITAJI
https://4.bp.blogspot.com/-NS0Sgi2fN3E/V7xSbQo3_jI/AAAAAAADjCA/X-sjHwkfTgwqm50HlXkdhL2T2FwhLx4XQCLcB/s640/OTH_8283.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-NS0Sgi2fN3E/V7xSbQo3_jI/AAAAAAADjCA/X-sjHwkfTgwqm50HlXkdhL2T2FwhLx4XQCLcB/s72-c/OTH_8283.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/08/halmashauri-zashauliwa-kuchkua.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/08/halmashauri-zashauliwa-kuchkua.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago