Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA VIWANJA VYA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya  kuhudumia m...


 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya 

kuhudumia mizigo, Ndege na abiria ya Swissport inayotoa huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), alipofanya ziara ya siku moja ya kutembelea uwanja huo Dar es Salaam leo.

 Kamanda wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Kamishna Msaidizi (SACP), Martin Otieno (kulia), akimueleza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto), kuhusu hali ya usalama katika uwanja huo wakati wa ziara ya waziri huyo katika uwanja huo Dar es Salaam leo. (Katikati) ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi George Sambali,
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Swissport, Gaudence Temu (wa pili kushoto), akimuelekeza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (wa pili kulia), jinsi kampuni hiyo inavyofanyakazi na changamoto zake. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi George Sambali. Kushoto ni Meneja Biashara wa TAA, Efata Lyimo.
Vifufushi vikiwa kwenye ghara jipya la Swissport.
Foku lifti likifanya kazi ya kubeba mizigo katika ghara hilo.
Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji, Elizabeth Lukuwi (kushoto), akutoa maelezo kwa Waziri Mbarawa baada ya kufika eneo la ukaguzi kwa wageni.
Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji, Elizabeth Lukuwi, akimpigia saluti Waziri Mbarawa baada ya kumpa maelekezo ya utendaji kazi katika kitengo cha wageni kiwanjani hapo.
Waziri Mbarawa akizungumza na Raia wa Kigeni aliyemuelezea kutumia muda mwingi zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya upimaji wa afya uwanjani hapo ambapo Waziri huyo aliwaagiza wahusika kuhakikisha wanatumia muda mfupi kutoa huduma kwa wageni ambao wanakuwa wamerundikana katika eneo hilo.
Baadhi ya wafanyakazi wa JNIA wakiwa uwanjani hapo.
Ofisa Usalama wa Kampuni ya Ujenzi ya Kimataifa ya Bam, Zueri Salum Mbungu akitoa maelezo kwa waziri Mbarawa (hayupo pichani) na ujumbe aliongozana nao  kuhusu hatua za usalama kabla ya kwenda kukagua ujenzi wa mradi wa Uwanja wa  ndege wa Terminal 3 unaojengwa na kampuni hiyo.
Taswira ya jengo la mradi wa Terminal 3 unavyoonekana katika hatua ya ujenzi.
Waziri Mbarawa (katikati) na ujumbe wake wakiendelea na ukaguzi wa Mradi wa Terminal 3.
Meneja Biashara wa Kampuni ya Ujenzi ya Kimataifa ya BAM inayojenga Mradi wa Terminal 3, Chris Bowers (kulia), akimuelekeza jambo kuhusu ujenzi wa uwanja huo.
Taswira ya timu nzima iliyoongoza na Waziri Mbarawa wakati wa kutembelea uwanja huo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA VIWANJA VYA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA VIWANJA VYA NDEGE JIJINI DAR ES SALAAM
https://1.bp.blogspot.com/-I6w8OunvY5U/V4Zf4GeRfCI/AAAAAAAAXHQ/oiJlsxtehBkkc0z5xrf146xExBVyLsDlgCLcB/s640/1.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-I6w8OunvY5U/V4Zf4GeRfCI/AAAAAAAAXHQ/oiJlsxtehBkkc0z5xrf146xExBVyLsDlgCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/waziri-wa-uchukuzi-atembelea-viwanja.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/waziri-wa-uchukuzi-atembelea-viwanja.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago