Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI MWAKYEMBE, MASAUNI WAFANYA ZIARA MKOANI GEITA, WAZUNGUMZA NA UONGOZI GGM, WATEMBELEA GEREZA CHATO

 Mkurugenzi wa Mashtaka, Biswalo Mganga (aliyevaa kaunda suti) akichomolewa ndani ya gari lake lililopinduka katika Kijiji cha Bwanga w...

 Mkurugenzi wa Mashtaka, Biswalo Mganga (aliyevaa kaunda suti) akichomolewa ndani ya gari lake lililopinduka katika Kijiji cha Bwanga wilayani Chato, Mkoa wa Geita, wakati dereva wa gari hilo alipokuwa anamkwepa mwanafunzi aliyekatisha ghafla barabarani wakati wa msafara wa ziara ya kikazi wa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe (kulia aliyevaa kofia) na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani).
 Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya mkoani Geita (GGM) pamoja na Viongozi wa Serikali wa mkoa huo, kuhusiana na masuala mbalimbali ya utatuaji wa migogoro iliyopo kati ya GGM na wananchi wanaoishi jirani na mgodi huo. Waziri Mwakyembe aliambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, katika ziara hiyo.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza jambo katika kikao chao na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga (katikati), na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe (wa tatu kushoto) mara baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi zilizofanywa na viongozi hao wa Wizara. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Geita (GGM), Terry MulPeter akizungumza katika kikao kati ya uongozi wa kampuni yake na viongozi wa serikali uliokuwa unaongozwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hawapo pichani). Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita.
 Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe (aliyevaa kofia), Mkuu wa Mkoa wa Geita, Meja Jenerali Mstaafu, Ezekiel Kyunga (kushoto kwa Dk Mwakyembe), Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati ya Dk Mwakyembe na Mkuu wa Mkoa) pamoja na viongozi wengine wakitoka kulikagua Bweni la Mahabusu la Gereza Chato linalojengwa mkoani humo.
Mkurugenzi wa Mashtaka, Biswalo Mganga (aliyevaa kaunda suti) akichomolewa ndani ya gari lake lililopinduka katika Kijiji cha Bwanga wilayani Chato, Mkoa wa Geita, wakati dereva wa gari hilo alipokuwa anamkwepa mwanafunzi aliyekatisha ghafla barabarani wakati wa msafara wa ziara ya kikazi wa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe (kulia aliyevaa kofia) na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani). Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI MWAKYEMBE, MASAUNI WAFANYA ZIARA MKOANI GEITA, WAZUNGUMZA NA UONGOZI GGM, WATEMBELEA GEREZA CHATO
WAZIRI MWAKYEMBE, MASAUNI WAFANYA ZIARA MKOANI GEITA, WAZUNGUMZA NA UONGOZI GGM, WATEMBELEA GEREZA CHATO
https://1.bp.blogspot.com/-dep_ysd8YBY/V4eDDmG1nDI/AAAAAAADicM/l2AUK6pQC7oTewSI-CezM0ZTazdya6s4ACLcB/s640/PIX%2B7.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-dep_ysd8YBY/V4eDDmG1nDI/AAAAAAADicM/l2AUK6pQC7oTewSI-CezM0ZTazdya6s4ACLcB/s72-c/PIX%2B7.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/waziri-mwakyembe-masauni-wafanya-ziara.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/waziri-mwakyembe-masauni-wafanya-ziara.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago