Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAKUU WAPYA WA WILAYA WA MKOA WA KAGERA WAAPISHWA LEO

  Mkuu wa Wilaya ya Kywerwa Mkoa wa Kagera akila kiapo mbele ya mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Kijuu,(hayupo picha...

 Mkuu wa Wilaya ya Kywerwa Mkoa wa Kagera akila kiapo mbele ya mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Kijuu,(hayupo pichani).
 Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera Luteni kanali Denis Mwila akila kiapo mbele ya mkuu wa mkoa wa Kagera (hayupo pichani).
 Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo Saada Malunde akila kiapo cha utii na utumishi na kuilinda nchi mbele ya mkuu wa Mkoa wa Kagera.
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Kijuu akimkabidhi vitendea kazi mkuu mpya wa Wilaya ya Bukoba mjini Deodatus Kinawilo.
 Baadhi ya wakuu wa Wilaya ya Mkoa wa Kagera Kabla ya kula viapo wakimpokea mgeni rasmi(ambaye hayupo pichani) wakati akiingia ukumbini
Wakuu wa Wilaya wa Wilaya za Mkoa wa Kagera wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Kagera Meja jenerali Mstaafu Salimu Kijuu mara baada ya kula kiapo.Na Editha Karlo

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAKUU WAPYA WA WILAYA WA MKOA WA KAGERA WAAPISHWA LEO
WAKUU WAPYA WA WILAYA WA MKOA WA KAGERA WAAPISHWA LEO
https://3.bp.blogspot.com/-5OXuHlvU3pQ/V3p4LvGJh3I/AAAAAAADiQ4/NkHRAEZzPesj2P23TS9j1Nv4FI7Um0x7ACLcB/s640/jjjk.jpeg
https://3.bp.blogspot.com/-5OXuHlvU3pQ/V3p4LvGJh3I/AAAAAAADiQ4/NkHRAEZzPesj2P23TS9j1Nv4FI7Um0x7ACLcB/s72-c/jjjk.jpeg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/wakuu-wapya-wa-wilaya-wa-mkoa-wa-kagera.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/wakuu-wapya-wa-wilaya-wa-mkoa-wa-kagera.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago