Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

UTEUZI:RAIS DKT JOHN MAGUFULI AMTEUA DEOGRATIUS NDEJEMBI KUWA MKUU WA WILAYA YA KONGWA MKOANI DODOMA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amemteua Bw. Deogratius John Ndejembi kuwa ...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amemteua Bw. Deogratius John Ndejembi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema Bw. Deogratius John Ndejembi anachukua nafasi iliyoachwa na aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Bw. John Ernest Palingo ambaye amehamishiwa Wilaya ya Mbozi katika Mkoa wa Songwe.
Uhamisho wa Bw. John Ernest Palingo kwenda Wilaya ya Mbozi, umefanywa baada ya Mhe. Rais Magufuli kuridhia maombi ya Bw. Ally Masoud Maswanya aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, kuomba uteuzi wake utenguliwe kutokana na sababu binafsi.

Bw. Deogratius John Ndejembi atakula kiapo cha ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma siku ya Jumanne tarehe 12 Julai, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam.

Gerson Msigwa

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU

Dar es salaam

07 Julai, 2016

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: UTEUZI:RAIS DKT JOHN MAGUFULI AMTEUA DEOGRATIUS NDEJEMBI KUWA MKUU WA WILAYA YA KONGWA MKOANI DODOMA
UTEUZI:RAIS DKT JOHN MAGUFULI AMTEUA DEOGRATIUS NDEJEMBI KUWA MKUU WA WILAYA YA KONGWA MKOANI DODOMA
https://4.bp.blogspot.com/-dLE6vaKzrGU/V3-qo1uab-I/AAAAAAADiUI/eCtLkLi_5bsN_uN2kCOuoLoTEOQK2C5LgCLcB/s640/Rais%252BMagufuli%252Bawasihi%252Bwatanzania%252Bkuungana%252Bna%252Bwaislamu%252Bkuliombea%252Btaifa.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-dLE6vaKzrGU/V3-qo1uab-I/AAAAAAADiUI/eCtLkLi_5bsN_uN2kCOuoLoTEOQK2C5LgCLcB/s72-c/Rais%252BMagufuli%252Bawasihi%252Bwatanzania%252Bkuungana%252Bna%252Bwaislamu%252Bkuliombea%252Btaifa.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/uteuzirais-dkt-john-magufuli-amteua.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/uteuzirais-dkt-john-magufuli-amteua.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago