Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

SOKWE MTU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MILIMA YA MAHALE MKOANI KIGOMA YAWAVUTIA WANAHABARI.

Kundi la Wanahabari wakiongozwa na Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete (mwenye fimbo)wakijianda...


Kundi la Wanahabari wakiongozwa na Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete (mwenye fimbo)wakijiandaa kueleke katika maeneo wanako patikana Sokwe mtu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale.
Safari ya kuwatafuta Sokwe Mtu ndani ya Hifadh ya Taifa ya Milima ya Mahale ikaanza kwa kupita ndani ya msitu mnene ,mabonde na hata vipando .
Kundi la Wanahabari likiongozwa na Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)  Pascal Shelutete wakiwa wamevalia "Mask" kwa ajili ya kuzuia magonjwa yanayoweza kuambukiza kati ya Sokwe na Binadamu.
Sokwe mtu aliyepewa jina la Michio ndiye alikuwa wa kwanza kuonekana mbele ya kundi la wanahabri waliotembelea Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale iliyopo mkoani Kigoma.
Safari ya kuwatafuta Sokwe mtu inaendana na msemo unaosema "Huwezi kumuona Sokwe bila kutoka jasho"ili kuhamsisha wageni kuendelea kua na nguvu ya kumuona Sokwe wakati mwingine waongoza Wageni walilazimika kuelezea vitu mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo .
Wakati mwingine wageni walipata mahala kwa ajili ya kupumzika huku wakisikiliza milio ya Sokwe wapi inatokea.
Safari iliendelea.
Mwisho wa siku familia moja ya Sokwe ikaonekana ikiwa na mtoto mmoja.

Na Dixon Busagaga wa Michuzi Blog ,Kigoma.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: SOKWE MTU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MILIMA YA MAHALE MKOANI KIGOMA YAWAVUTIA WANAHABARI.
SOKWE MTU KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MILIMA YA MAHALE MKOANI KIGOMA YAWAVUTIA WANAHABARI.
https://4.bp.blogspot.com/-ABjMelcMcjc/V4JrrLzc4tI/AAAAAAAAe6Y/_2cvb3Kx5dY9TM0wijSxL7ScvPEk78m-gCLcB/s640/IMG_8442.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-ABjMelcMcjc/V4JrrLzc4tI/AAAAAAAAe6Y/_2cvb3Kx5dY9TM0wijSxL7ScvPEk78m-gCLcB/s72-c/IMG_8442.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/sokwe-mtu-katika-hifadhi-ya-taifa-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/sokwe-mtu-katika-hifadhi-ya-taifa-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago