Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RC WA LONGIDO DANIEL CHONGOLO AKAGUA VYANZO VYA MAJI KUPAPAMBANA NA UHABA WA MAJI WILAYANI HUMO

Mkuu wa Wilaya ya Longido,Mh.Daniel Chongolo (pili kulia) akipata maelezo mafupi kuhusiana na moja ya chanzo cha maji ndani ya wilaya ...Mkuu wa Wilaya ya Longido,Mh.Daniel Chongolo (pili kulia) akipata maelezo mafupi kuhusiana na moja ya chanzo cha maji ndani ya wilaya hiyo kutoka kwa Mhandisi wa Maji wa Wilaya ya Longido,Mhandisi Musiba

RC Chongolo alielezea changamoto kubwa inayowakabili Wananchi wa Wilaya hiyo ni uhaba mkubwa uliopo katika wilaya hiyo,pamoja na chanagamoto hiyo kubwa,RC Chongongolo akabainisha kuwa hatua za kukabiliana na uhaba huo zimeanza kuchukuliwa.
RC Chongolo akifafanua jambo kwa Injinia Musiba mbele ya kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya hiyo,mara baada ya kufanya ziara fupi ya kutembelea vyanzo vya maji vinavyopatikana ndani ya Wilaya hiyo katika suala zima la kuanza kuchukua hatua madhubuti ya kupapambana changamoto kubwa ya uhaba wa maji ndani ya wilaya hiyo

RC Chongolo akiwa sambamba na Mhandisi wa Maji wa Wilaya hiyo Injinia Musiba wakikagua chanzo cha maji kitakachokuwa kikihudumia kata za Tingatinga na Longido kwa asilimia 100.RC Chongolo amesema kuwa Mahitaji ya maji katika kata hizo ni lita za ujazo milioni moja wakati chanzo hicho kitakuwa na uwezo wa kusukuma zaidi ya lita za ujazo milioni 2 kwa siku,amesema kuwa chanzo hicho kipo katika mteremko wa mlima Kilimanjaro wilayani Siha,ambao ni maarufu kwa jina la mto Simba.
RC Mh.Daniel Chongolo (pili kulia) akielekezwa jambo kwa umakini kutoka kwa Injinia Musiba,mara baada ya kuvitembelea vyanzo mbalimbali vya maji vilivyomo katika wilaya ya Longido.

RC Chongolo akiwa na kamati ya ulinzi na Usalama wakikatiza kukagua maeneo mbalimbali yenye vyanzo vya maji,katika suala zima la kupambana na uhaba wa maji uliopo katika wilaya ya Longido,ambayo imeelezwa kuwa ndio changamoto kubwa wilayani humo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RC WA LONGIDO DANIEL CHONGOLO AKAGUA VYANZO VYA MAJI KUPAPAMBANA NA UHABA WA MAJI WILAYANI HUMO
RC WA LONGIDO DANIEL CHONGOLO AKAGUA VYANZO VYA MAJI KUPAPAMBANA NA UHABA WA MAJI WILAYANI HUMO
https://1.bp.blogspot.com/-xmGPdTziOKo/V4SGF_h_gtI/AAAAAAADOEU/HyfWyJOzYZw6GaWTuMFICCUrB3rsFnNbQCLcB/s640/13599820_1398416296844600_676744989446458778_n.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-xmGPdTziOKo/V4SGF_h_gtI/AAAAAAADOEU/HyfWyJOzYZw6GaWTuMFICCUrB3rsFnNbQCLcB/s72-c/13599820_1398416296844600_676744989446458778_n.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/rc-wa-longido-daniel-chongolo-akagua.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/rc-wa-longido-daniel-chongolo-akagua.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago