Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

PBZ Yakabidhi Msaada kwa Watoto Wa Vituo Vya Mayatima Zanzibar Kusherehekea Sikuku ya Eid Fitry

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Juma Ameir akizungumza na wakati wa kukabidhi msaada wa Vyakula kwa Wa...Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Juma Ameir akizungumza na wakati wa kukabidhi msaada wa Vyakula kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar, ili kusherehekea Sikukuu baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika katika Nyumba ya Watoto Mazizini Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) akikabidhi msaada wa vyakula kwa Watoto wa Nyumba ya Watoto Yatima Mazizini Zanzibar kusherehekea vizuri sikuku ya Eid Fitry baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuungana na Watoto wenzao kusherehekea sikuku hiyo. 
Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg Juma Ameir akisalimiana na Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar alipowasili kwa ajili ya kukabidhi misaada ya Vyakula kwa Watoto hao kusherehekea Sikukuu ya Eid Firty.  
Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg Juma Ameir akisalimiana na Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar alipowasili kwa ajili ya kukabidhi misaada ya Vyakula kwa Watoto hao kusherehekea Sikukuu ya Eid Firty.  
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Juma Ameir akizungumzac wakati wa kukabidhi msaada wa Vyakula kwa Watoto wa Kijiji cha SOS Zanzibar.kushoto baaddhi ya watoto wa kijiji hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg Juma Ameir akiwakabidhi msaada wa Vyakula Watoto wa Kijiji cha SOS Zanzibar ili kusherehekea vizuri Sikukuu ya Eid Fitry baada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kijiji hicho huko mombasa Zanzibar. 
Watoto wa Kijiji cha SOS Zanzibar wakimsikiliza Mtoto mwezao akitowa neno la shukrani kwa Uongozi wa PBZ kwa msaada wao huo. 
Mtoto wa Kijiji cha SOS Zanzibar akitowa neno la shukrani kwa Uongozi wa PBZ kwa msaada wao huo.
Afisa Masoko wa PBZ Ndg Mohammed Nuhu akiwa na Mlezi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Islah Center Bi Zalha Abdalla 
Afisa Masoko wa PBZ Ndg Mohammed Nuhu akitowa maelezo kwa Watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Islah Center kilichoko mombasa Zanzibar kulia Mlezi Mkuu wa Kituo hicho Bi Zalha Abdalla 

Watoto wa Kituo cha Watoto Yatima cha Islah Center cha Mombasa Zanzibar wakisoma dua kuwaombea Wafanyakazi wa PBZ na Uongozi wao kwa msaada wao huo na kutowa shukrani.
Imetayarishwa na OthmanMapara 
Zanzinews,Blogspot.Com
Email othmanmaulid@gmail.com

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: PBZ Yakabidhi Msaada kwa Watoto Wa Vituo Vya Mayatima Zanzibar Kusherehekea Sikuku ya Eid Fitry
PBZ Yakabidhi Msaada kwa Watoto Wa Vituo Vya Mayatima Zanzibar Kusherehekea Sikuku ya Eid Fitry
https://4.bp.blogspot.com/-IHVltNENlHo/V3vLVF_xcgI/AAAAAAACc3s/n43EhQWA-BUwFaepkg7mzdrYIQVXudX5ACLcB/s640/DSC_0014.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-IHVltNENlHo/V3vLVF_xcgI/AAAAAAACc3s/n43EhQWA-BUwFaepkg7mzdrYIQVXudX5ACLcB/s72-c/DSC_0014.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/pbz-yakabidhi-msaada-kwa-watoto-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/pbz-yakabidhi-msaada-kwa-watoto-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago