Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

NAIBU WAZIRI WA ARDHI, ANGELINE MABULA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA UENDELEZAJI MILKI JIJINI DAR ES SALAAM

  Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula (kushoto), akihutubia wakati akifungua mkutano wa wadau wa uend...


 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula (kushoto), akihutubia wakati akifungua mkutano wa wadau wa uendelezaji milki uliofanyika Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Usimamizi Milki, Hamad Abdallah, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, Mkurugenzi wa Nyumba wa wizara hiyo, Charles Mafuru na Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maaly. Mkutano huo uliandaliwa na NHC.
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, akizungumza katika ufunguzi wa mkutano huo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabula kuufungua.
 Mwonekano wa meza kuu wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Wadau wa uendelezaji milki wakiwa kwenye mkutano huo.

Wadau wa uendelezaji milki wakiwa kwenye mkutano huo.


Taswira ya chumba cha mkutano huo.
Mwonekano wa chumba cha mkutano katika ufunguzi wa mkutano huo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: NAIBU WAZIRI WA ARDHI, ANGELINE MABULA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA UENDELEZAJI MILKI JIJINI DAR ES SALAAM
NAIBU WAZIRI WA ARDHI, ANGELINE MABULA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA UENDELEZAJI MILKI JIJINI DAR ES SALAAM
https://1.bp.blogspot.com/-zryv37JlxIw/V4TcLryqvSI/AAAAAAAAXGY/ycfA4roQAqcQWdnZcBbxqjIzD1EKmhXewCLcB/s640/1.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-zryv37JlxIw/V4TcLryqvSI/AAAAAAAAXGY/ycfA4roQAqcQWdnZcBbxqjIzD1EKmhXewCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/naibu-waziri-wa-ardhi-angeline-mabula.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/naibu-waziri-wa-ardhi-angeline-mabula.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago