Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MTOTO AGUNDULIKA AKIWA AMEFUNGIWA NDANI NA WAZAZI WAKE KWA MIAKA 11 MBEYAo

Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Kata ya Ilemi jijini Mbeya   mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili akiwa amelala n...


Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Kata ya Ilemi jijini Mbeya   mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili akiwa amelala ndani ,kwa zaidi ya miaka 11 sasa kwa kile kinacho elezwa kuwa ni kufichwa ndani na wazazi wake ili kuondoa aibu ya familia .

Mahali anapo lala  kijana Emanuel Fedrick (20)Mkazi wa Mwambeja Kata ya Ilemi jijini kwa zaidi ya Miaka 11 sasa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuficha aibu ya familia.

Kijana Emanuel Fedrick (20)  mwenye tatizo la utindio wa ubongo akiwa amebebwa na shangazi yake Stella Mbuligwe  mara baada ya kutoka kufanyiwa usafi wa mwili kutokana na wazazi wake kutoweza kutoa ushirikiano kwa kijana huyo..

Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Ilemi jijini Mbeya ambaye anatatizo la akili na ulemavu wa viungo akipelekwa ndani na shangazi yake ,Stella Mbuligwe mara baada yaa kufanyiwa usafi na kupatiwa chakula


Na EmanuelMadafa,Mbeya

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana  mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili, amegundulika kufungiwa ndani  kwa zaidi ya miaka 11 na wazazi wake katika eneo la Mwambenja Kata ya Ilemi Jijini hapa.

                                                                    

Kijana huyo, mwenye umri wa miaka 20, ambaye amejulikana kwa jina la Fredrick Emmanuel ametajwa kuwa amekuwa akiishi ndani bila ya kutolewa nje  hali iliyochangia kwa kiasi kikubwa kudhohofisha mwili wake .Mmoja wa majirani ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema kuwa Kijana huyo licha ya kuzaliwa akiwa na ulemavu wa viungo vya mikono na miguu,pia amezaliwa akiwa na utindio wa ubongo hali inayomfanya kushindwa kuongea.Amesema wazazi wa mtoto huyo wamekuwa wakimfungia ndani ambapo hata wao hawakuluhusiwa kuingia ndani ya nyumba hali iliyowafanya washituke na kutoa taarifa ili kumuokoa  kijana huyo.Akizungumzia tukio hilo , Mwenyekiti wa mtaa wa Mwambenja, Rosemary Jama, amesema taarifa za Ferdrick kuishi ndani ya nyumba hiyo  walikuwa nazo lakini hawakuwahi kupata taarifa za kwamba kijana huyo hatolewi nje.“Sisi tunafahamu ndani ya nyumba ya Emmanuel kuna mtoto ambaye ni mlemavu lakini hatukuweza kufahamu mazingira anayoishi kijana huyu, nimeshuhudia kweli huu ni unyanyasaji wa kijinsia, licha ya kutotolewa nje lakini kijana huyu anaonekana amekosa chakula,”alisema.Akizungumza huku akionesha kutojali  , Baba wa kijana huyo Emmanuel John , anasema mwanae Fedrick, alizaliwa mwaka 2007 ukiwa ni uzao wake wa kwanza katika familia hiyo na akufuatiwa na wenzake watatu ambao wote mungu amewajalia na kuzaliwa wakiwa wazima.
Kufuatia tukio hilo baadhi ya majirani wameomba mamlaka husika kuingila kati ili kumsaidia kijana huyo kwani maisha yake yapo hatarini kutokana na wazazi kutoonesha kujali .

 MwishoImeandaliwa na Mtandao wa kijamii wa JamiiMojablog-Mbeya  na Mtandao wa FahariNews0759-406070,0712199378.


Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Kata ya Ilemi jijini Mbeya mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili akiwa amelala ndani ,kwa zaidi ya miaka 11 sasa kwa kile kinacho elezwa kuwa ni kufichwa ndani na wazazi wake ili kuondoa aibu ya familia .

 Mahali anapo lala kijana Emanuel Fedrick (20)Mkazi wa Mwambeja Kata ya Ilemi jijini kwa zaidi ya Miaka 11 sasa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuficha aibu ya familia.

 Kijana Emanuel Fedrick (20) mwenye tatizo la utindio wa ubongo akiwa amebebwa na shangazi yake Stella Mbuligwe mara baada ya kutoka kufanyiwa usafi wa mwili kutokana na wazazi wake kutoweza kutoa ushirikiano kwa kijana huyo..

 Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Ilemi jijini Mbeya ambaye anatatizo la akili na ulemavu wa viungo akipelekwa ndani na shangazi yake ,Stella Mbuligwe mara baada yaa kufanyiwa usafi na kupatiwa chakula Na EmanuelMadafa,

Mbeya Katika hali isiyokuwa ya kawaida kijana mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili, amegundulika kufungiwa ndani kwa zaidi ya miaka 11 na wazazi wake katika eneo la Mwambenja Kata ya Ilemi Jijini hapa.

 Kijana huyo, mwenye umri wa miaka 20, ambaye amejulikana kwa jina la Fredrick Emmanuel ametajwa kuwa amekuwa akiishi ndani bila ya kutolewa nje hali iliyochangia kwa kiasi kikubwa kudhohofisha mwili wake . ...

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MTOTO AGUNDULIKA AKIWA AMEFUNGIWA NDANI NA WAZAZI WAKE KWA MIAKA 11 MBEYAo
MTOTO AGUNDULIKA AKIWA AMEFUNGIWA NDANI NA WAZAZI WAKE KWA MIAKA 11 MBEYAo
https://4.bp.blogspot.com/-6xnZZL7UDNA/V4ZPuB9HLnI/AAAAAAAAWNs/JZXoaSRVAlIlTNIs4iUHsTSXCkiCx3eOQCLcB/s640/IMG_7441.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-6xnZZL7UDNA/V4ZPuB9HLnI/AAAAAAAAWNs/JZXoaSRVAlIlTNIs4iUHsTSXCkiCx3eOQCLcB/s72-c/IMG_7441.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/mtoto-agundulika-akiwa-amefungiwa-ndani.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/mtoto-agundulika-akiwa-amefungiwa-ndani.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago