Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MASAUNI ATOA ONYO KALI KWA ASKARI NA MAAFISA ZIMAMOTO MWANZA WATAKAOZEMBEA KATIKA KAZI, AKAGUA VITENDEA KAZI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Askari na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wa Mk...

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Askari na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wa Mkoa wa Mwanza alipofanya ziara mkoani humo kwa lengo la kujua jinsi Jeshi hilo linavyofanyakazi mkoani humo. Masauni katika hotuba yake aliwataka viongozi wa jeshi hilo wafanye kazi kwa kujituma zaidi na waepuke kutoa sababu za kizembe wakati wanapoenda katika matukio ya uzimaji moto na watakaofanya hivyo watachukuliwa hatua kali. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 

 Kaimu Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, ACF Hamidu Nguya akitoa maelezo ya utendaji kazi wa Jeshi lake mkoani humo kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia). Masauni katika hotuba yake aliwataka viongozi wa jeshi hilo wafanye kazi kwa kujituma zaidi na waepuke kutoa sababu za kizembe wakati wanapoenda katika matukio ya uzimaji moto na watakaofanya hivyo watachukuliwa hatua kali. Kushoto ni Mratibu Msaidizi wa Jeshi hilo, Mussa Kaboni. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa Kaunda suti) akiangalia jinsi askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wanapokuwa wanazima moto katika matukio mbalimbali. Kulia ni Kaimu Kamishna wa Jeshi hilo Mkoa wa Mwanza, ACF Hamidu Nguya. Masauni alifanya ziara katika Ofisi za Jeshi hilo jijini Mwanza kwa lengo la kujua jinsi gani jeshi hilo linavyofanyakazi mkoani humo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kuzungumza na Askari na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wa Mkoa wa Mwanza. Masauni aliwataka viongozi wa jeshi hilo wafanye kazi kwa kujituma zaidi na waepuke kutoa sababu za kizembe wakati wanapoenda katika matukio ya uzimaji moto na watakaofanya hivyo watachukuliwa hatua kali. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akiwasalimia Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wa Mkoa wa Mwanza wakati alipokuwa anawasili katika ofisi za Jeshi hilo, jijini Mwanza. Masauni aliwataka viongozi wa jeshi hilo wafanye kazi kwa kujituma zaidi na waepuke kutoa sababu za kizembe wakati wanapoenda katika matukio ya uzimaji moto na watakaofanya hivyo watachukuliwa hatua kali. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa Kaunda suti), Kaimu Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, ACF Hamidu Nguya (wanne kulia) na akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi hilo mkoani humo. Masauni alifanya ziara katika ofisi za Jeshi hilo kwa lengo la kujua jinsi gani jeshi hilo linavyofanyakazi katika matukio mbalimbali jijini Mwanza. Hata hivyo, Masauni aliwataka viongozi wa jeshi hilo wafanye kazi kwa kujituma zaidi na waepuke kutoa sababu za kizembe wakati wanapoenda katika matukio ya uzimaji moto na watakaofanya hivyo watachukuliwa hatua kali. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MASAUNI ATOA ONYO KALI KWA ASKARI NA MAAFISA ZIMAMOTO MWANZA WATAKAOZEMBEA KATIKA KAZI, AKAGUA VITENDEA KAZI
MASAUNI ATOA ONYO KALI KWA ASKARI NA MAAFISA ZIMAMOTO MWANZA WATAKAOZEMBEA KATIKA KAZI, AKAGUA VITENDEA KAZI
https://3.bp.blogspot.com/-Mz3T6Zo-tXY/V4eGmPcW-HI/AAAAAAADidA/6PPHj_1T0UIK883OO5er_zBL90RkQGpbACLcB/s640/PIX%2B1.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-Mz3T6Zo-tXY/V4eGmPcW-HI/AAAAAAADidA/6PPHj_1T0UIK883OO5er_zBL90RkQGpbACLcB/s72-c/PIX%2B1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/masauni-atoa-onyo-kali-kwa-askari-na.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/masauni-atoa-onyo-kali-kwa-askari-na.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago