Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAJUMBE WANAWAKE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambapo...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambapo aliwaambia umoja na mshikamano ni nguzo muhimu kwa wanawake .
Aliwataka kutumia fursa zinazopatikana mjini na kujiunga na Majukwaa ya Wanawake.
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka Wilaya ya Uvinza ,Asha Baraka akichangia jambo wakati wa Mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

Sehemu ya Wajumbe wakifuatilia mazungumzo baina yao na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAJUMBE WANAWAKE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAJUMBE WANAWAKE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
https://4.bp.blogspot.com/-73s15YqfrPE/V5FRDoVH0kI/AAAAAAAAyBU/rDFb3JNLBs42tG7duUqGbD8_J5DyZ039QCLcB/s640/18.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-73s15YqfrPE/V5FRDoVH0kI/AAAAAAAAyBU/rDFb3JNLBs42tG7duUqGbD8_J5DyZ039QCLcB/s72-c/18.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/makamu-wa-rais-mhe-samia-afanya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/makamu-wa-rais-mhe-samia-afanya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago