Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA YAMTIA HATIANI MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA MWANAHABARI MWANGOSI

 Ulinzi  wa  polisi  viwanja  vya mahakama  kuu kanda  ya  Iringa  leo  kabla ya  mtuhumiwa wa mauwaji  kufikishwa  Wananchi  wakiwa ...


 Ulinzi  wa  polisi  viwanja  vya mahakama  kuu kanda  ya  Iringa  leo  kabla ya  mtuhumiwa wa mauwaji  kufikishwa
 Wananchi  wakiwa  foleni  kukaguliwa  kabla ya  kuingia  mahakamani leo
 Mtuhumiwa wa  mauwaji  ya  Mwangosi  akipakiwa  kwenye  gari  za  FFU
 Msafala  wa  gari  za  FFU  zilizomsindikiz askari  mwenzao anayekutwa  na kosa  la  kuua bila  kukusudia  leo
 Askari  wa FFU  wakitoka  mbio  mahakamani  hapo
 Wananchi  na  wanahabari  wakitoka  mahakamani  hapo 


wakili  kutoka mtandao  wa  watetezi wa haki  za  binadamu ((THRDC)Benedict  Ishabakaki  akizungumza na  wanahabari  nje ya  viwanja  vya mahakamani  leowakili  kutoka mtandao  wa  watetezi wa haki  za  binadamu ((THRDC)Benedict  Ishabakaki  akizungumza na  wanahabari  nje ya  viwanja  vya mahakamani  leo
 Siku ambayo  mwanahabari  Daudi  Mwangosi  alipouwawa
 Askari  hao   wakimtoa mahakamani  hapo  leo  mtuhumiwa wa mauwaji ya  Mwangosi
                               Marehemu  Mwangosi  enzi  za uhai  wake 
.....................................................................................................................
Na  MatukiodaimaBlog IringaMAHAKAMA   kuu  kanda  ya  Iringa   imemtia hatiani   kwa   kosa la  kuua bila  kukusudia  askari  Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia ( FFU )Iringa  G 58 Pacificius Cleophace Simon (27) anayetuhumiwa  kuuua  mwaahabari  Daudi  Mwangosi   mwaka 2012 katika  kijiji  cha  Nyololo  wilaya ya  Mufindi.

Huku   wakili  upande  wa jamhuri  katika  kesi  hiyo  Adolph Mwaganda akiiomba  mahakama   hiyo  kutoa   hukumu  ya  kifungo  cha maisha  jela  kwa askari  huyo ambae  hata   hivyo  alisema upande wa  jamhuri  hauna  taarifa  za  makosa yoyote  aliyopata  kuyafanya.


Hata   hivyo  mahakamani  hiyo  imesema  adhabu  kwa  mtuhumiwa   huyo  kutokana  na kupatikana na  kosa  hilo la  kuua bila  kukusudia  itatolewa  Julai 27  majira ya  saa 4  asubuhi  mwaka   huu.


 Jaji  Dkt  Paul Kiwelo ambaye  anayesikiliza  kesi  hiyo alisema  mahakakamani hapo leo    kuwa kati  ya  vielelezo  vitano vyote  vilivyoleta  kama  ushahidi  mahakamani  hapo  kwa ajili ya  kesi   hiyo  namba 54 ya  mwaka 2013  ni  kielelezo   kimoja  pekee  cha  ungamo  kwa  mlinzi  wa amani  ambacho  ndicho  hakukuwa na  shaka   na ungamo  hilo  ndilo  lililomtia hatiani  asikari  huyo.


Alivitaja   vielelezo vilivyopelekwa kama  ushahidi   kuwa ni Ramani   ya  eneo la  tukio,ripoti  ya  tabibu ,ungamo  la mlinzi  wa amani ,silaha  aliyoitumia  na  rejista  ya  silaha  .


Hata  hivyo  alisema  kuwa  idadi  ya   mashahidi  katika   kesi sio  inayowezesha  kumtia  hatiani  mtuhumiwa  ila  kinachomtia  hatiani  ni aina ya  ushahidi wenye  uhakika ambao  unatolewa na  kuongeza  kuwa katika   kesi  hiyo  upande  wa  jamhuri  ulishindwa  kuleta mashahidi  stahiki zaidi ya  kuwa na mashahidi  ambao ukiacha mlinzi wa amani mashahidi wote  ushahidi   wao una masahaka na  haoonyeshi kama mtuhumiwa  huyo  ndio  aliyehusika na mauwaji .


“ Niseme baada  ya   kusikiliza  ushahidi  wote …..mtuhumiwa kaonekana na kosa la

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA YAMTIA HATIANI MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA MWANAHABARI MWANGOSI
MAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA YAMTIA HATIANI MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA MWANAHABARI MWANGOSI
https://1.bp.blogspot.com/-IYy4stBovUg/V5X4_KwdwcI/AAAAAAACLMI/G_MdH7-nti8_2Y7OvWWIptLSDq_w_3IJgCLcB/s640/DSC_0255.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-IYy4stBovUg/V5X4_KwdwcI/AAAAAAACLMI/G_MdH7-nti8_2Y7OvWWIptLSDq_w_3IJgCLcB/s72-c/DSC_0255.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/mahakama-kuu-kanda-ya-iringa-yamtia.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/mahakama-kuu-kanda-ya-iringa-yamtia.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago