Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI WA MIFUPA WA WATOTODUNIANI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akitia saini katika kitabu cha wageni ...


Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akitia saini katika kitabu cha wageni Moi mara baada ya kuwasili katika Mkutano wa Madaktari Bingwa wa Mifupa wa Wtoto Duniani, Mkutano huo umeratibiwa na Serikali ya Uturuki kupiti Ubalozi wake nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Afyana na Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) uliohudhuriwa na Wataalamu kutokanchi mbalimbaliza Afrikana Uturuki
Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp (kulia) akitia saini katika kitabu cha wageni Taasisi ya Mifupa hiyo kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kilolima


 .Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya (katikati) akizungumzakatika ufunguzi wa Mkutano wa Madaktari wa Mifupa wa Watoto Duniani ambapo Mkutano huo umeratibiwa na Serikali ya Uturuki kupitia balozi wake Nchini Tanzania kwakushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya na Taasisi hiyo, kulia ni Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kilolima
.Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akizungumza jambo katika Mkutano huo uliofantika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)

Baadhi ya Madaktari wakibadilishana mawazo huku wakipata chai
Baadhi ya madaktari wakijadiliana jambo
Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mifupa na Viungo, Mkuu wa Kitengo  na Mwenyekiti wa Mkutano huo Dk. Mcharo Bryson akizungumza na waandishi wa habari (pichani hawapo) mara baada ya kutoka katika mkutano huo wakati wa chai
Madaktari wakisikiliza kwa umakini wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki alipoufungua Mkutano huo 
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kilolima (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi hiyo, Dk. Samuel Swai 

Profesa Inan Muharrem (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kilolima picha ya iliyochorwa 


Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya katika picha ya pamojana Madaktari Bingwa

Katibu Mkuu akiongea na waandishi
Mkurugenzi Mtendaji akizungumza na waandishi
Balozi wa Uturuki nchini akizungumza na waandishi(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA), Mmiliki wa ujijirahaa blog

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI WA MIFUPA WA WATOTODUNIANI DAR ES SALAAM
KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA AFUNGUA MKUTANO WA MADAKTARI WA MIFUPA WA WATOTODUNIANI DAR ES SALAAM
https://4.bp.blogspot.com/-1P3MUORKO4A/V36i72r3lrI/AAAAAAAAWeo/5m01vsPoD6gpdPvYnvVZFbc3SG_aszbggCLcB/s640/1.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-1P3MUORKO4A/V36i72r3lrI/AAAAAAAAWeo/5m01vsPoD6gpdPvYnvVZFbc3SG_aszbggCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/katibu-mkuu-wizara-ya-afya-afungua.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/katibu-mkuu-wizara-ya-afya-afungua.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago