Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KATIBU MKUU SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA HABARI , UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime, leo 21 Julai 2016, amefanya mazungumzo marefu na  Naibu Waziri wa ...


Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime, leo 21 Julai 2016, amefanya mazungumzo marefu na  Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura ofisini kwa Naibu Waziri huyo. katika mazungumzo hayo Katibu Mkuu wa Shirikisho aligusia mambo mbalimbali yakiwemo, sehemu za kufanyia kazi za sanaa ya muziki (kumbi), matatizo ya utekelezaji wa Hakimiliki, ukubwa wa kodi za vifaa vya kazi za muziki,  na mengine mengi ikiwemo kumkabidhi Naibu Waziri tafiti mbalimbali zilizofanywa zilizohusu menejimenti ya tasnia ya muziki. Mazungumzo haya yaliyochukua zaidi ya saa mbili, yalifikia kwa makubaliano kuwa kutakuwa na ukaribu zaidi kati ya Wizara na viongozi mbalimbali wa sanaa ili kuboresha mazingira ya utendaji wa kazi za sanaa.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KATIBU MKUU SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA HABARI , UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
KATIBU MKUU SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA HABARI , UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
https://3.bp.blogspot.com/-fOtBzzxy7Ic/V5DUO1qLzqI/AAAAAAAAALM/aCSznfxvI5YStmJDZ2KK8oq-XjiQaMJ_QCLcB/s640/13770350_1220598284657478_4973886438550174404_n.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-fOtBzzxy7Ic/V5DUO1qLzqI/AAAAAAAAALM/aCSznfxvI5YStmJDZ2KK8oq-XjiQaMJ_QCLcB/s72-c/13770350_1220598284657478_4973886438550174404_n.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/katibu-mkuu-shirikisho-la-muziki.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/katibu-mkuu-shirikisho-la-muziki.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago