Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Kugharamia Fursa za Elimu Duniani Yakamilisha Kazi Yake, Oslo

Mheshimiwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akifuatilia Mkutano wa Kamisheni ya Elimu pamoja na Mweenyekiti wa Kamisheni hiyo Mhe....


Mheshimiwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akifuatilia Mkutano wa Kamisheni ya Elimu pamoja na Mweenyekiti wa Kamisheni hiyo Mhe. Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza.
Wajumbe wa Kamisheni ya Elimu katika Picha ya Pamoja.
---
Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Kugharamia Fursa za Elimu Duniani iliyo chini ya uenyekiti wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mheshimiwa Gordon Brown imekamilisha kazi yake ya kuandaa Taarifa yenye mapendekezo ya kuiwezesha dunia kuhakikisha kila mtoto popote alipo duniani anapata fursa ya elimu ya ubora wa elimu unaolinganaifikapo mwaka 2030. Kamisheni hiyo ya Elimu iliyoundwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa imefanya kikao chake cha majumuisho tarehe 2 Julai, 2016 jijini Oslo. Kufuatia Kikao hicho cha majumuisho kilichopitia ripoti ya Kamisheni na mapendekezo yake, ripoti ya Kamisheni sasa inatarajiwa kuwasilishwa kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa jijini New York tarehe 18 Septemba, 2016. Akizungumza mara baada ya Kikao cha Kamisheni hiyo, 

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mmoja wa Makamisha wa Kamisheni hiyo ameelezea matumaini yake kuwa mapendekezo yaliyomo kwenye ripoti iwapo yatatekelezwa yataiwezesha dunia kuhakikisha kuwa hakuna mtoto atakayeachwa nyuma kwa upande wa elimu bora ifikapo mwaka 2030 na kuendelea kama ilivyoazimiwa katika Malengo ya Dunia ya Maendeleo Endelevu (SDG). 

Ameendelea kueleza kuwa ili kufikia lengo hilo, hapana budi viongozi wa dunia wafanye maamuzi ya kimapinduzi ili kuwezesha kupatikana kwa fedha zitakazowezesha kila mtoto kila mahali alipo duniani apate fursa ya elimu na elimu yenye ubora unaolingana. Kamisheni hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Elimu inaundwa na jopo la watu mashuhuri wakiwemo Mawaziri Wakuu Wastaafu, Mawaziri Wastaafu, Wafanyabiashara na Matajiri Wakubwa kutoka Sekta Binafsi na Wanaharakati kutoka Asasi za Kiraia duniani.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Kugharamia Fursa za Elimu Duniani Yakamilisha Kazi Yake, Oslo
Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Kugharamia Fursa za Elimu Duniani Yakamilisha Kazi Yake, Oslo
https://2.bp.blogspot.com/-zfbsgekkcIw/V3ztcRiNrcI/AAAAAAADiSg/GBkaQqCSJrYkKvedQaUu62YkwLeBO1wxACLcB/s640/Mheshimiwa%2BRais%2BMstaafu%2BJakaya%2BMrisho%2BKikwete%2Bakifuatilia%2BMkutano%2Bwa%2BKamisheni%2Bya%2BElimu%2Bpamoja%2Bna%2BMweenyekiti%2Bwa%2BKamisheni%2Bhiyo%2BMhe.%2BGordon%2BBrown%252C%2BWaziri%2BMkuu%2BMstaafu%2Bwa%2BUingereza.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-zfbsgekkcIw/V3ztcRiNrcI/AAAAAAADiSg/GBkaQqCSJrYkKvedQaUu62YkwLeBO1wxACLcB/s72-c/Mheshimiwa%2BRais%2BMstaafu%2BJakaya%2BMrisho%2BKikwete%2Bakifuatilia%2BMkutano%2Bwa%2BKamisheni%2Bya%2BElimu%2Bpamoja%2Bna%2BMweenyekiti%2Bwa%2BKamisheni%2Bhiyo%2BMhe.%2BGordon%2BBrown%252C%2BWaziri%2BMkuu%2BMstaafu%2Bwa%2BUingereza.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/kamisheni-ya-umoja-wa-mataifa-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/kamisheni-ya-umoja-wa-mataifa-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago