Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

JAJI MKUU WA TANZANIA OTHMAN CHANDE ATEMBELEA JENGO LA MAHAKAMA YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI LEO.

    Hili ni jengo litakalotumika kuanzisha Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi lililopo kwenye Shule ya Sheria (Law Scho...

   Hili ni jengo litakalotumika kuanzisha Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi lililopo kwenye Shule ya Sheria (Law School) Sinza jijini Dar es salaam.
  Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Mohamed Chande Othman (Katikati) akimsikiliza Mhandisi wa Mahakama ya Tanzania, Khamadi Kitunzi akimuelezea jambo alipotembelea jengo litakalotumika kuanzisha Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi lililoko kwenye Shule ya Sheria (Law School) Sinza jijini Dar es salaam. Kulia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand Wambali.
  Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Mohamed Chande Othman (Katikati) akimuelezea jambo Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Hussein Kattanga alipotembelea  jengo litakalotumika kuanzisha Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi lililoko kwenye Shule ya Sheria (Law School) Sinza jijini Dar es salaam. Kushoto ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand Wambali. 

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: JAJI MKUU WA TANZANIA OTHMAN CHANDE ATEMBELEA JENGO LA MAHAKAMA YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI LEO.
JAJI MKUU WA TANZANIA OTHMAN CHANDE ATEMBELEA JENGO LA MAHAKAMA YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI LEO.
https://4.bp.blogspot.com/-_H61vxSgQ80/V5i4G9AEwqI/AAAAAAADimw/raY51XPuSkwgh_GlQSSsTYcyvF4oPryHACLcB/s640/IMG_7461.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-_H61vxSgQ80/V5i4G9AEwqI/AAAAAAADimw/raY51XPuSkwgh_GlQSSsTYcyvF4oPryHACLcB/s72-c/IMG_7461.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/jaji-mkuu-wa-tanzania-othman-chande.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/jaji-mkuu-wa-tanzania-othman-chande.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago