Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

EPZA YATENGENEZA AJIRA 36,000

  Ofisa Mwamasishaji Mwandamizi wa Mamlaka ya Maeneo Maalumu ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA), Nakadongo Fares (kulia), akizungumz...


 Ofisa Mwamasishaji Mwandamizi wa Mamlaka ya Maeneo Maalumu ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA), Nakadongo Fares (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu mambo mbalimbali yanayofanywa na mamlaka hiyo. Kushoto ni Meneja Uhamasishaji Uwekezaji,  Grace Lemunge.
 Meneja Uhamasishaji Uwekezaji,  Grace Lemunge (kushoto), akisisitiza jambo kwenye mkutano huo na wanahabari.
 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Star  Infrastructure Development (T) Limited, Ananth Bhat akizungumzia mradi wao wa uwekezaji uliopo mkoani Morogoro.
Mkutano na wanahabari ukiendelea.

Na Dotto Mwaibale

MAMLAKA ya Maeneo Maalumu ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) imeweza kutengeneza ajira 36,000 kwa watanzania kupitia makampuni 140 yaliyowekeza hapa nchini.

Hayo yamebainishwa na Ofisa Mwamasishaji Mwandamizi wa Mamlaka hiyo, Nakadongo Fares Dar es Salaam leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali yanayofanywa na mamlaka hiyo kwenye maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam 2016.

"Kupitia makampuni 140 yaliyowekeza hapa nchini yameweza kutoa ajira kwa watanzania 36,000 huku watoa huduma wakiwa 300,000" alisema Fares.

Alisema kazi kubwa ya mamlaka hiyo ni kuhasisha uwekezaji katika kanda maalumu za kiuchumi, kuvutia na kuhamasisha uhuishaji wa teknolojia mpya, kuhamasisha uwekezaji kwenye viwanda usindikikaji wa malighafi zinazopatikana nchini, kutengeneza fursa za ajira na kuongeza pato la fedha za kigeni nchi.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: EPZA YATENGENEZA AJIRA 36,000
EPZA YATENGENEZA AJIRA 36,000
https://4.bp.blogspot.com/-e8bhxQ4Jj7I/V3pwTfFqp2I/AAAAAAAAXBE/VZUDiphaU8gWbd9-Aqpzm5l93pvqHWL6ACLcB/s640/1.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-e8bhxQ4Jj7I/V3pwTfFqp2I/AAAAAAAAXBE/VZUDiphaU8gWbd9-Aqpzm5l93pvqHWL6ACLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/07/epza-yatengeneza-ajira-36000.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/07/epza-yatengeneza-ajira-36000.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago