Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAHITIMU WA USCF - TAASISI YA UHASIBU TANZANIA WATAKIWA KUWA WAADILIFU MAKAZINI

Wanafunzi wametakiwa kuwa waadilifu pindi wanapomaliza chuo na kwenda kuingia makazini. Kauli hiyo ameitoa Mwenyekiti wa bodi ya Us...


Wanafunzi wametakiwa kuwa waadilifu pindi wanapomaliza chuo na kwenda kuingia makazini. Kauli hiyo ameitoa Mwenyekiti wa bodi ya Ushauri TAREA, Godwin Msigwa (pichani) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya umoja wa wanafunzi wa kikiristo wa vyuo vikuu Tanzania katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) yaliyofanyika weekend iliyopita. Msingwa alisema ni vyema vijana wakatambua kuwa maisha mazuri ni yake ya kufanya kazi kwa uadilifu na kuacha ujanja ujanja katika kazi. "Leo mnaenda mtaani mtapata kazi ninawaomba mkafanye kazi kwa uadilifu, mfano wewe ukipata kazi ya kusimamia manunuzi ya dawa muendele ukanunue dawa zenye ubora maana usipofaya hivyo utasababisha vifo vya watu na hiyo dhambi si ndogo, Muogopeni Mungu,' Alisema Msigwa. Aliongeza kuwa wakati umefika kwa watanzania wakaonyesha uzalendo kwa mambo yao wenyewe, wasingoje mpaka wasukumwe katika kufanya kazi kwa bidii. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
Mchungaji wa KKKT akitoa neno wakati wa mahafali ya umoja wa wanafunzi wa kikiristo wa vyuo vikuu Tanzania katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) yaliyofanyika weekend iliyopita.
Wahitimu wakifuatilia neno kutoka kwa mchungaji wakati wa mahafali ya umoja wa wanafunzi wa kikiristo wa vyuo vikuu Tanzania katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) yaliyofanyika weekend iliyopita.
Katika neno alililolitoa mchungaji huyu aliwaasa wahitimu kuwa na hofu ya Mungu pindi wanapopewa majukumu ya kazi.
Mgeni rasmi mwenyekiti wa bodi ya Ushauri TAREA, Godwin Msigwa (wa tatu toka kushoto) akiserebuka na mchungaji wa KKKT pamoja na wageni waalikwa.
Wahitimu wakijimwaga.
 Mchungani akiwaombea wanafunzi wakafanye vyema katika mitihani yao wakati wa mahafali ya umoja wa wanafunzi wa kikristo wa vyuo vikuu Tanzania katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) yaliyofanyika weekend iliyopita. --

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAHITIMU WA USCF - TAASISI YA UHASIBU TANZANIA WATAKIWA KUWA WAADILIFU MAKAZINI
WAHITIMU WA USCF - TAASISI YA UHASIBU TANZANIA WATAKIWA KUWA WAADILIFU MAKAZINI
https://2.bp.blogspot.com/-0ocaXc3QNCo/V1f6-b2gHAI/AAAAAAABuNA/u3rR68ZEIREXentxR1MsFN8o1WqS0WKUQCLcB/s640/IMG_6924.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-0ocaXc3QNCo/V1f6-b2gHAI/AAAAAAABuNA/u3rR68ZEIREXentxR1MsFN8o1WqS0WKUQCLcB/s72-c/IMG_6924.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/06/wahitimu-wa-uscf-taasisi-ya-uhasibu.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/06/wahitimu-wa-uscf-taasisi-ya-uhasibu.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago