Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RAIS MAGUFULI AFUTA HATI YA MASHAMBA LA HEKTA 5,000

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwatangazia wanakijiji wa Kibaranga kuwaelezea uamuzi wa Rais...


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwatangazia wanakijiji wa Kibaranga kuwaelezea uamuzi wa Rais Dk John Pombe Magufuli wa kufuta hati ya Shamba leyenye hekta zaidi ya 5,000 ambalo lililokuwa limetelekezwa na mwekezaji, kwenye kijiji cha Kibaranga kilichopo wilayani Muheza mkoani Tanga.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza muda mfupi baada ya kuwasili wilayani humo akitokea Lushoto, Tanga kabla ya kuelekea Kijiji cha Kibaranga kufuta hati ya Shamba lililokuwa limetelekezwa na mwekezaji.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza muda mfupi baada ya kuwasili wilayani humo akitokea Lushoto, Tanga kabla ya kuelekea Kijiji cha Kibaranga kufuta hati ya Shamba lililokuwa limetelekezwa na mwekezaji
---

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli amefuta hati ya mashamba ya Mkonge, yenye hekta zaidi ya 5,000 yaliyokuwa yametelekezwa na kuwa mapori ambayo hayaendelezwi kufuatia malalamiko ya wakazi wa zaidi ya 2,000 wa kijiji cha Kibaranga kuhangaikia maeneo ya kilimo na kusababisha migogoro ya mara kwa mara baina yao.

Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kibaranga katika mkutano wa hadhara, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi amesema hili ni shamba la sita kufutwa na kuwapa wananchi na Mheshimiwa Rais katika wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga kufuatia wawekezaji waliopewa hati ya kuyaendeleza kushindwa kutekeleza makubalino.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella amesema Serikali ya mkoa wa Tanga imepewa jukumu la kugawa ardhi hiyo na watahakikisha kuwa wanaweka utaratibu utakaowezesha kila mwananchi apate shamba na hati ili yaweze kuwaendeleza wananchi.

Kufuatia hatua hiyo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayoshughulikia ulinzi na usalama Mheshimiwa Adadi Rajab amesema watahakikisha wawekezaji matapeli hawaruhusiwi kujimegea ardhi kwa manufaa yao na badala yake mashamba hayo yaendelezwe na wananchi waliokabidhiwa ili yaweze kuwapa manufaa.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RAIS MAGUFULI AFUTA HATI YA MASHAMBA LA HEKTA 5,000
RAIS MAGUFULI AFUTA HATI YA MASHAMBA LA HEKTA 5,000
https://4.bp.blogspot.com/-A8aW1Q8wVBE/V1qVZJ4i4XI/AAAAAAADhwE/Khrn_oajkW8nH9PFvSZa4bC1irPhbzeOwCLcB/s640/DSC_0230.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-A8aW1Q8wVBE/V1qVZJ4i4XI/AAAAAAADhwE/Khrn_oajkW8nH9PFvSZa4bC1irPhbzeOwCLcB/s72-c/DSC_0230.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/06/rais-magufuli-afuta-hati-ya-mashamba-la.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/06/rais-magufuli-afuta-hati-ya-mashamba-la.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago