Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

NOAH YAACHA NJIA NA KUPARAMIA DALADALA, BUZA JIJINI DAR ES SALAAM WANAJESHI WANUSURIKA KIFO

  Wananchi wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 359 DFQ iliyodaiwa kuacha njia na kuparamia daladala namba T 797 DEW eneo...


 Wananchi wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 359 DFQ iliyodaiwa kuacha njia na kuparamia daladala namba T 797 DEW eneo la Buza Njia Panda ya Kitunda jijini Dar es Salaam leo jioni. Katika ajali hiyo watu wawili waliokuwa kwenye Noah hiyo waliotajwa kuwa ni Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), walijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Temeke kwa matibabu.
 Noah hiyo ikiwa kwenye mtaro baada ya kutokea ajali hiyo.
 Daladala lililogongana na Noah hiyo likiwa eneo la tukio.
Wananchi wakiwa eneo la ajali hiyo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: NOAH YAACHA NJIA NA KUPARAMIA DALADALA, BUZA JIJINI DAR ES SALAAM WANAJESHI WANUSURIKA KIFO
NOAH YAACHA NJIA NA KUPARAMIA DALADALA, BUZA JIJINI DAR ES SALAAM WANAJESHI WANUSURIKA KIFO
https://2.bp.blogspot.com/-0YejaMKE33w/V2gYjrOAQWI/AAAAAAAAW5U/lX_pwcF7xTctpAg-PI2Um_kqZPCefvgcwCLcB/s640/IMG_2227.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-0YejaMKE33w/V2gYjrOAQWI/AAAAAAAAW5U/lX_pwcF7xTctpAg-PI2Um_kqZPCefvgcwCLcB/s72-c/IMG_2227.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/06/noah-yaacha-njia-na-kuparamia-daladala.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/06/noah-yaacha-njia-na-kuparamia-daladala.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago