Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKUU WA WILAYA AONGOZA HARAMBEE UCHANGIAJI MADAWATI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Deodatus Kinawiro akizungumza jambo wakati wa harambee ya uchangiaji wa madawati kwa kumuunga mkono Rais wa...


 Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Deodatus Kinawiro akizungumza jambo wakati wa harambee ya uchangiaji wa madawati kwa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano John Pombe Magufuli kwaniaba ya Wilaya yake Karagwe  ambapo harambee hiyo ilifanyika Jijini,  Dar es Salaam  kulia ni Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya hiyo, Willace Mashanda na kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa akizungumza jambo wakati wa harambeee ya uchangiaji wa madawati kwa niaba ya shule zilizopo katika Wilaya yake ya Karagwe,
 Mc, ambae ni Mhasibu wa Shirika la Bima la Taifa Mkoa wa Iringa, Symbert Kanyabuhora akizungumza jambo wakati alipokua akisherehesha hafla hiyo ya harambee ya uchangiaji wa madawati iliyofanyika Jijini, Dar es Salaam
 Aliekuwa  Mbuge wa Jimbo la Karagwe na Wakili wa kujitegemea, Gosbert Blandes akifurahiya jambo kwa kupiga makofi mara baada ya Mbunge wake wa Jimbo hilo la Karagwe,  Innocent Bashungwa alipokua akizungumza jambo wakati wa harambee hiyo Jijini Dar es Salaam
 Wadau wa ishio Dar es Salaam ambao ni wazaliwa wa Karagwe wakiwa katika harambee hiyo Jijini Dar es Salaam

 Kuanzia kulia ni Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Karagwe,  Eng, Walter Kirita, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Wallace Mashanda, Mkuu wailaya ya Karagwe Deodatus Kinawiro, Mbunge wa Jimbo la Wilaya ya Karagwe Mh. Innocent Bashungwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya harambee hiyo,  Medard Birusya
 Sehemu ya wadau

 Wadau mbalimbali wakisikiliza kwa umakini

 Mshauri wa Fedha na Biashara (Consultant) Dar es Salaam na Mkurugenzi Mstaafu wa Fedha kwenye Kampuni za Kigeni  ambazo zinatoka Afrika ya Kusini, Leopold Bulondo akiwapungia wadau waliofika katika harambee hiyo ya uchangiaji madawati kwa niaba ya Wilaya yao ya Karagwe mara alipo tambulishwa na Mkuu wa Wilaya ya Karagwe kwenye harambee hiyo  
 Aliekuwa  Mbunge wa Jimbo la Karagwe na Wakili wa kujitegemea, Gosbert Blandes akizungumza jambo kwa kufurahia jambo mara alipokua akizungumza Mbunge wake Innocent Bashungwa

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKUU WA WILAYA AONGOZA HARAMBEE UCHANGIAJI MADAWATI JIJINI DAR ES SALAAM
MKUU WA WILAYA AONGOZA HARAMBEE UCHANGIAJI MADAWATI JIJINI DAR ES SALAAM
https://1.bp.blogspot.com/-OdnKJ-EyzXE/V2jXtXwVaeI/AAAAAAAAWVc/BwhS802gViEs92cp3WrWj6jFQsqlmb_ZwCLcB/s640/1.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-OdnKJ-EyzXE/V2jXtXwVaeI/AAAAAAAAWVc/BwhS802gViEs92cp3WrWj6jFQsqlmb_ZwCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/06/mkuu-wa-wilaya-aongoza-harambee.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/06/mkuu-wa-wilaya-aongoza-harambee.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago