Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKUTANO WA KUSIKILIZA MAONI YA WADAU JUU YA MUSWADA WA FEDHA WA MWAKA 2016

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kwa mujibu wa Kanuni ya 118 ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la mwaka 2016, Nyongeza ya Nane, ...

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kwa mujibu wa Kanuni ya 118 ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la mwaka 2016, Nyongeza ya Nane, Sehemu ya Tatu Kifungu cha 9, imepewa jukumu la kusikiliza maoni na mapendekezo ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha kila mwaka.
 
Katika kutekeleza jukumu hilo, Kamati ya Bajeti imepanga kufanya Mkutano wa Wadau wote wa masuala ya kodi (Public Hearing) kwa ajili ya kusikiliza maoni yao na mapendekezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2016.

Mkutano huo umepangwa kufanyika siku ya Alhamisi Tarehe 16 Juni 2016 kuanzia Saa Tano asubuhi katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Mkoani Dodoma.

Kwa kuzingatia umuhimu wa Muswada huo, Kamati inawaalika wadau wote kufika na kuwasilisha maoni yao kabla haujapelekwa katika hatua nyingine. Maoni ya wadau yanaweza pia kuwasilishwa kwa njia ya Posta au Barua pepe kwa anuani ifuatayo:
 
Katibu wa Bunge, Ofisi ya Bunge, S.L.P 941, DODOMA Imetolewa na, Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano. Ofisi ya Bunge,

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKUTANO WA KUSIKILIZA MAONI YA WADAU JUU YA MUSWADA WA FEDHA WA MWAKA 2016
MKUTANO WA KUSIKILIZA MAONI YA WADAU JUU YA MUSWADA WA FEDHA WA MWAKA 2016
https://1.bp.blogspot.com/-gprOYPBKfk4/V2FHiM5kEYI/AAAAAAADh34/cYvYNruiBGMaKEm-QLHxpBTdkN09yINIQCLcB/s1600/ht.jpeg
https://1.bp.blogspot.com/-gprOYPBKfk4/V2FHiM5kEYI/AAAAAAADh34/cYvYNruiBGMaKEm-QLHxpBTdkN09yINIQCLcB/s72-c/ht.jpeg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/06/mkutano-wa-kusikiliza-maoni-ya-wadau.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/06/mkutano-wa-kusikiliza-maoni-ya-wadau.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago