Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKUTANO MKUBWA WA OYES 2016 WAANZA KATIKA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA.

Umati wa wananchi wa Jiji la Mwanza ukifuatilia mahubiri ya Mwimbaji na Mhubiri JJ.Rwiza wakati akihubiri jana katika ufunguzi wa Mkut...


Umati wa wananchi wa Jiji la Mwanza ukifuatilia mahubiri ya Mwimbaji na Mhubiri JJ.Rwiza wakati akihubiri jana katika ufunguzi wa Mkutano wa Open Your Eyes and See OYES 2016 unaofanyika katika Viwanja vya Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza.

Mkutano wa OYES 2016 ulianza jana June 12,2016 na unatarajia kufikia tamati jumapili ijayo June 19,2016 ambapo kila siku utakuwa ukianza majira ya saa nane mchana. Ni Mkutano mahususi kwa ajili ya kuwafungua watu wote wenye uhitaji ambao kwa muda mrefu wameteseka na vifungo vya ibirisi.
Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Dkt.Daniel Moses Kulola (Kushoto), akimkaribisha Mwimbaji na Mhubiri JJ.Rwiza kuhubiri katika Mkutano wa Open Your Eyes and See OYES 2016.
Mwimbaji na Mhubiri JJ.Rwiza akihubiri katika Mkutano wa Open Your Eyes and See OYES 2016 unaofanyika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKUTANO MKUBWA WA OYES 2016 WAANZA KATIKA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA.
MKUTANO MKUBWA WA OYES 2016 WAANZA KATIKA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA.
https://2.bp.blogspot.com/-huW2_3rsqgw/V15TYkUYryI/AAAAAAAAL6Q/68R2UEa3Pv8CMsZPIFszCKfxz0a5LMP6QCLcB/s640/3.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-huW2_3rsqgw/V15TYkUYryI/AAAAAAAAL6Q/68R2UEa3Pv8CMsZPIFszCKfxz0a5LMP6QCLcB/s72-c/3.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/06/mkutano-mkubwa-wa-oyes-2016-waanza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/06/mkutano-mkubwa-wa-oyes-2016-waanza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago