Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mahojiano na Makala Jasper kuhusu Tuzo ya National Geographic Society for Leadership

Makala Jasper ni Mkurugenzi Mwandamizi wa Shirika lisilo la kiserikali la Mpingo Conservation & Development Initiative (...Makala Jasper ni Mkurugenzi Mwandamizi wa Shirika lisilo la kiserikali la Mpingo Conservation & Development Initiative (MCDI).
Juni 16, 2016, alitunukiwa tuzo ya National Geographic Society/Buffett Award for Leadership in African Conservation, akiwa ni mshindi miongoni ma washiriki 30 kutoka barani Afrika.
Tuzo hiyo imetokana na kazi anayofanya pamoja na wananchi katika Vijiji mbalimbali mkoani Lindi.
MCDI huwezesha wanakijiji kutumia rasilimali za misitu kujenga uchumi na kutunza mazingira.
Katika miradi inayofanyika chini ya MCDI, wananchi wameweza kujiendeleza na kujenga shule, hospitali, kununua chakula cha dharura na kutoa misaada kwa vijiji vingine.
Tuzo ya National Geographic Society/Buffet Award ni ya pili kupokelewa na Bw. Jasper.
Ya kwanza ilikuwa Whitley Fund for Nature Award aliyopokea nchini Uingiereza tarehe 27 Aprili, 2016.
Karibu umsikilize

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mahojiano na Makala Jasper kuhusu Tuzo ya National Geographic Society for Leadership
Mahojiano na Makala Jasper kuhusu Tuzo ya National Geographic Society for Leadership
https://1.bp.blogspot.com/-kJwlh1raaQ8/V2iSUkouyfI/AAAAAAAAKs0/5DM5c4srIZE4bhbTdm6MmGiOWCk4KY_nwCLcB/s640/Makala%2BJasper%2B2.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-kJwlh1raaQ8/V2iSUkouyfI/AAAAAAAAKs0/5DM5c4srIZE4bhbTdm6MmGiOWCk4KY_nwCLcB/s72-c/Makala%2BJasper%2B2.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/06/mahojiano-na-makala-jasper-kuhusu-tuzo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/06/mahojiano-na-makala-jasper-kuhusu-tuzo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago