Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Mahojiano na BBC Swahili kuhusu BREXIT

Leo nilishiriki katika mahojiano mawili kuhusu kura ya maoni iliyopigwa hapa Uingereza juzi kuhusu hatma ya uanachama wa taifa hilo kwe...


Leo nilishiriki katika mahojiano mawili kuhusu kura ya maoni iliyopigwa hapa Uingereza juzi kuhusu hatma ya uanachama wa taifa hilo kwenye Umoja wa Ulaya, ambapo matokeo yalikuwa kwa Uingereza kujitoa. Mahojiano hayo yalikuwa kati yangu na kipindi cha radio cha  Dira ya Dunia ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC na baadaye kipindi cha televisheni cha Dira ya Dunia cha kituo hicho.

Hapa chini ni video na audio ya mahojiano hayo. Karibuni
COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Mahojiano na BBC Swahili kuhusu BREXIT
Mahojiano na BBC Swahili kuhusu BREXIT
http://www.bbc.co.uk/news/special/2015/newsspec_11063/swahili_1024x576.png
https://i.ytimg.com/vi/bEX9uLHOUmY/default.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/06/mahojiano-na-bbc-swahili-kuhusu-brexit.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/06/mahojiano-na-bbc-swahili-kuhusu-brexit.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago