Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KONGAMANO KUBWA NA LA KIHISTORIA LILILOTARAJIWA KUFANYIKA LEO JIJINI MWANZA LAAHIRISHWA.

Lile Kongamano Kubwa la Wajasiriamali lililotarajiwa kufanyika hii leo June 11,2016 katika Uwanja mkongwe wa Nyamagana Jijini Mwanza, l...Lile Kongamano Kubwa la Wajasiriamali lililotarajiwa kufanyika hii leo June 11,2016 katika Uwanja mkongwe wa Nyamagana Jijini Mwanza, limeahirishwa hadi Julai 16,2016.
Kongamano hilo limeahirishwa kutokana na baadhi ya washiriki kuwa katika mfungo wa Mwezi Mtukufu na hivyo kuona si busara kufanyika.

Kongamano hilo linatarajiwa kuwa la Kihistoria kuwahi kufanyika mkoani Mwanza kwa kuwakutanisha Vijana Wajasirimali pamoja na Wawekezaji mkoani Mwanza wapatao 500. 

BMG inakutakia maandalizi mema kwa ajili ya kushiriki katika Kongamano hilo ambalo halitakuwa na kiingilio ambapo Kauli Mbiu yake inasema "Vijana Ndiyo Mhimiri wa Upaishaji wa Pato la Taifa, Usisubiri Kesho Fursa ni Sasa".

Pichani ni Kamati ya Maandalizi ya Kongamano Kubwa la Wajasiriamali linalofanyika hii leo June 11,2016 katika Uwanja mkongwe wa Nyamagana Jijini Mwanza, ilipokutana na Meneja wa PPF Kanda ya Ziwa (wa pili kushoto), wakati ikiwa ni katika maandalizi ya kuelekea katika Kongamano hilo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KONGAMANO KUBWA NA LA KIHISTORIA LILILOTARAJIWA KUFANYIKA LEO JIJINI MWANZA LAAHIRISHWA.
KONGAMANO KUBWA NA LA KIHISTORIA LILILOTARAJIWA KUFANYIKA LEO JIJINI MWANZA LAAHIRISHWA.
https://1.bp.blogspot.com/-U0_W9Z1nYbI/V1ubE9xdISI/AAAAAAAAL3o/hnOFut4B1h0gaPVUpL0CUEA1RALK-spKwCLcB/s640/Kamati.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-U0_W9Z1nYbI/V1ubE9xdISI/AAAAAAAAL3o/hnOFut4B1h0gaPVUpL0CUEA1RALK-spKwCLcB/s72-c/Kamati.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/06/kongamano-kubwa-na-la-kihistoria.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/06/kongamano-kubwa-na-la-kihistoria.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago