Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Aliyekuwa Kada wa CCM na Naibu Waziri na baadae kuhamia Chadema Goodluck Ole Medeye, amekihama chama hicho na kujiunga na United Democratic Party UDP.

 Mwenyekiti wa Chama cha UDP Mzee John Momose Cheyo akimkabidhi kadi ya uanachama Goodluck Ole Medeye aliyekuwa mwanachama wa chama ...


 Mwenyekiti wa Chama cha UDP Mzee John Momose Cheyo akimkabidhi kadi ya uanachama Goodluck Ole Medeye aliyekuwa mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jana kwenye Makao Makuu ya Chama hicho Mwananyamala Kinondoni  jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha UDP Mzee John Momose Cheyo akimshuhudia Bw.  Goodluck Ole Medeye wakati akionyesha kadi ya uanachama aliyokabidhiwa baada ya kujiunga na Chama cha UDP akitokea Chama cha  Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jana kwenye Makao Makuu ya Chama hicho Mwananyamala Kinondoni  jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha UDP Mzee John Momose Cheyo akimpongeza mke wa Goodluck Joseph Ole Medeye mara baada ya mume wake kujiunga na Chama cha UDP  Jana
--
 Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, aliyedumu na chama hicho kwa miezi kumi na moja Goodluck Ole Medeye, amekihama chama hicho na kujiunga na United Democratic Party UDP.


Bw. Medeye aliyewahi kuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na kuitumikia serikali katika nafasi ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ametangaza uamuzi wa kuhama Chadema jijini Dar es Salaam na kukabidhiwa kadi ya UDP na Mwenyekiti wa Chama hicho John Momose Cheyo.


Mbunge huyo wa zamani wa jimbo la Arumeru Magharibi amejiunga na UDP akiwa na Mkewe, pamoja na watu wengine tisa wakiwemo waliokuwa kwenye vyama tofauti na wengine waliodai hawakuwahi kuwa kwenye siasa, ambapo katika maelezo yake, Ole Medeye amesema awali alitaka kuunda chama kipya lakini baada ya kupitia katiba za vyama akaona UDP ni sehemu sahihi.


Kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini, wanasiasa hao wamelaani uminywaji wa demokrasia katika kipindi hiki, hususan ndani ya Bunge, na kushauri wabunge wa kambi ya upinzani wanaosusia vikao kurejea ndani ya ukumbi wa Bunge kwa vile njia wanayotumia haitabadili utaratibu wa kibunge hususan kumuondoa Naibu Spika kwenye kiti chake.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Aliyekuwa Kada wa CCM na Naibu Waziri na baadae kuhamia Chadema Goodluck Ole Medeye, amekihama chama hicho na kujiunga na United Democratic Party UDP.
Aliyekuwa Kada wa CCM na Naibu Waziri na baadae kuhamia Chadema Goodluck Ole Medeye, amekihama chama hicho na kujiunga na United Democratic Party UDP.
https://i.ytimg.com/vi/WN1VjLeruik/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/WN1VjLeruik/default.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/06/aliyekuwa-kada-wa-ccm-na-naibu-waziri.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/06/aliyekuwa-kada-wa-ccm-na-naibu-waziri.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago