Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa Wah. Wabunge lafanyika Dodoma

  Dr. Harrison Mwakyembe (Mb) akiwa na Afisa Usajili Bw. Surera wakati akipata huduma ya usajili kwenye ukumbi wa Bunge. Katika zoezi ...

 Dr. Harrison Mwakyembe (Mb) akiwa na Afisa Usajili Bw. Surera wakati akipata huduma ya usajili kwenye ukumbi wa Bunge. Katika zoezi hilo mbali na kujaza fomu za maombi ya Utambulisho, pia walichukuliwa alama za kibaiolojia picha na saini ya kielektroniki
Waziri wa Sheria  Dr. Harrison Mwakyembe (Mb) akisaidiwa kujaza fomu na Meneja Usajili Vitambulisho vya Taifa, Bi. Julian Mafuru
 Mh. Saed Kubenea akisaidiwa na Afisa Usajili Bw. Surera kuchukua alama za vidole wakati wa hatua ya uchukuaji alama za kibaiolojia.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mh. Saed Kubenea akisaidiwa kujaza fomu za maombi za Vitambulisho vya taifa na Afisa Usajili Bi. Hadija Bauji.
---
 
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA), imeanza kusajili Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; wakati wakiendelea na kikao cha Bajeti
Katika Usajili huo NIDA inategemea kusajili wabunge wote ambao hawakuwahi kusajiliwa awali na kupata vitambulisho vya Taifa, pamoja na kugawa vitambulisho

Wabunge wameonyesha mwamko mkubwa katika kutumia fursa hii adhimu, kwa kuhakikisha kwamba wanakuwa mstari wa mbele kutimiza haki yao ya kikatiba ya kusajiliwa na kupata kitambulisho cha Taifa; ambacho kimekuwa na faida nyingi kiuchumi, kijamii na kisiasa

Mpaka sasa NIDA imeshatoa zaidi ya  vitambulisho zaidi ya milioni 2.5 na kwa sasa NIDA iko mbioni kuanza usajili kwa kutumia mtaji wa taarifa toka NEC ambapo zaidi ya wananchi milioni 22 watasajiliwa na kupewa namba ya utambulisho ili kuanza matumizi mbalimbali

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa Wah. Wabunge lafanyika Dodoma
zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa Wah. Wabunge lafanyika Dodoma
https://4.bp.blogspot.com/-wG3B13c9aH8/Vz8E9wxJF6I/AAAAAAADho8/_3HfPZZzb8I0jWj60384L6r78LnXVALwwCLcB/s640/kub4.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-wG3B13c9aH8/Vz8E9wxJF6I/AAAAAAADho8/_3HfPZZzb8I0jWj60384L6r78LnXVALwwCLcB/s72-c/kub4.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/zoezi-la-usajili-vitambulisho-vya-taifa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/zoezi-la-usajili-vitambulisho-vya-taifa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago