Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Waziri Mahiga apokea msaada wa magari ya kubebea wagonjwa kutoka Korea Kusini

Waziri wa Mambo ya nje Ushirikano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (aliye shikilia funguo za gari), akipokea Ufunguo wa Magari...


Waziri wa Mambo ya nje Ushirikano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (aliye shikilia funguo za gari), akipokea Ufunguo wa Magari ya Wagonjwa kutoka kwa Balozi wa Korea Kusini nchini, Mhe. Song Geum Young  yaliyotolewa Serikali ya nchi yake. Waziri Mahiga alitumia nafasi hiyo Kuishukuru na kuipongeza Serikali ya Korea Kusini kwa msaada huo ambo utatumika kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mwanza.  Tanzania na Korea Kusini zina mahusiano mazuri, ambapo Korea Kusini inaendelea kuisaidia Tanzania kwenye sekta mbalimbali zikiwemo afya,miundombinu, elimu na uchumi.
Waziri Mahiga akijaribisha moja ya magari aliyokabidhiwa na Serikali ya Korea Kusini kupitia Balozi Young kushoto.
Picha ya Magari yaliyotolewa kwa msaada wa Serikali ya Korea Kusini
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbelwa Kairuki (wa kwanza kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Bi. Mindi Kasiga (wa kwanza kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Korea Kusini Mhe. Song Geum Young mara baada makabidhiano ya magari kwa Mhe. Dkt. Mahiga (hayupo pichani) .Picha na Reginald Philip

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Waziri Mahiga apokea msaada wa magari ya kubebea wagonjwa kutoka Korea Kusini
Waziri Mahiga apokea msaada wa magari ya kubebea wagonjwa kutoka Korea Kusini
https://3.bp.blogspot.com/-zfdcKLeFEmQ/V0go8GZi-FI/AAAAAAAAobE/WtPI0PUXVw0v9hrH7SEPMVPRID-0HpKswCLcB/s640/719A9982.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-zfdcKLeFEmQ/V0go8GZi-FI/AAAAAAAAobE/WtPI0PUXVw0v9hrH7SEPMVPRID-0HpKswCLcB/s72-c/719A9982.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/waziri-mahiga-apokea-msaada-wa-magari.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/waziri-mahiga-apokea-msaada-wa-magari.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago