Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

UPDATES: MSIBA WA MTOTO WA ANKAL ISSA MICHUZI

Assalaam aleikum, Familia ya Ankal Issa Michuzi iliyopatwa na msiba wa kuondokewa na Mtoto wa Ankal, Maggid Muhidin aliefariki Juma...


Assalaam aleikum,

Familia ya Ankal Issa Michuzi iliyopatwa na msiba wa kuondokewa na Mtoto wa Ankal, Maggid Muhidin aliefariki Jumapili Mei 8, 2016 huko Durban, Afrika Kusini.

 Taarifa ya sasa ni kwamba, Ndugu zetu kule Durban wanakamilisha taratibu za kusafirisha mwili, hivyo sote tupo standby kwa hilo na naomba tufanye subira kwani hiki ni kipindi kigumu kwetu sote, na mwili ukiwasili ratiba rasmi ya mazishi itatolewa.

Msiba uko Tegeta Wazo Hill, Nyumbani kwa Mama Mzazi wa Marehemu (likiwa ni ombi maalum la Mama), na taratibu zote zinafanyika huko.

NAMNA YA KUFIKA MSIBANI
Ukitokea Tegeta Kibaoni kama unaelekea Kiwanda cha Cement Wazo, mbele mkono wako wa kulia utaona Kanisa la KKKT na ukienda mbele tena kidogo, utaona uzio wenye rangi ya njano umeandikwa Twiga Cement, unakatisha hapo upande huo huo wa kulia. ukikatisha tu utaona kuna mtaa mwingine unaingia upande wa kulia, uache na usogee mbele, utaona mtaa mwingine unaingia kulia, ingia nao huo na utakuwa umefika msibani.Innalillah wa inna ilayhi raajiun
-AMIN.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: UPDATES: MSIBA WA MTOTO WA ANKAL ISSA MICHUZI
UPDATES: MSIBA WA MTOTO WA ANKAL ISSA MICHUZI
https://4.bp.blogspot.com/-FjY3ETKt9Zk/VzBAI224sVI/AAAAAAAInq4/pLOj8nPnSj45QJDj31zeKpwe1UbW-VfDgCLcB/s640/Screen%2BShot%2B2016-05-09%2Bat%2B10.42.45%2BAM.png
https://4.bp.blogspot.com/-FjY3ETKt9Zk/VzBAI224sVI/AAAAAAAInq4/pLOj8nPnSj45QJDj31zeKpwe1UbW-VfDgCLcB/s72-c/Screen%2BShot%2B2016-05-09%2Bat%2B10.42.45%2BAM.png
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/updates-msiba-wa-mtoto-wa-ankal-issa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/updates-msiba-wa-mtoto-wa-ankal-issa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago