Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

RC PAUL MAKONDA AFUNGUA MACHINJIO YA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi wakati alipowasili kuzu...


 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi wakati alipowasili kuzungumza na wafanyabiashara wa nyama katika Machinjio ya Vingunguti kabla ya kuifungua rasmi jana. Katikati ni Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto ambaye ni Diwani wa Kata ya Vingunguti.
 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto (wa pili kulia), akielekeza jambo mbele ya Mkuu wa Mkoa. Kulia ni Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Isaya Mngurumi. RC Makonda akiongoza ukaguzi huo.
 Taswira ya choo cha kisasa kilichojengwa kwenye machinjio hiyo.
 Wafanyabiashara katika machinjio hiyo wakimsikiliza Makonda (hayupo pichani)
 Mwonekano wa machinjio hiyo baada ya kufanyiwa ukarabati.
 Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano huo wa ufunguzi wa machinji hiyo.
 Makonda akisalimiana na wafanyabiashara baada ya kufungua machinjio hiyo.
Wafanyabiashara wakimkabidhi zawadi ya mbuzi RC Makonda, DC Raymond Mushi na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi katika hafla hiyo ya ufunguzi wa machinjio hiyo.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: RC PAUL MAKONDA AFUNGUA MACHINJIO YA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM
RC PAUL MAKONDA AFUNGUA MACHINJIO YA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM
https://2.bp.blogspot.com/-gwsk59YaqnI/Vz_qm5N1ehI/AAAAAAAAWZI/p4eJ9-i2ymQglcwKXSLtGibvUl0fjNIhgCLcB/s640/IMG_8838.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-gwsk59YaqnI/Vz_qm5N1ehI/AAAAAAAAWZI/p4eJ9-i2ymQglcwKXSLtGibvUl0fjNIhgCLcB/s72-c/IMG_8838.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/rc-paul-makonda-afungua-machinjio-ya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/rc-paul-makonda-afungua-machinjio-ya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago