Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete asaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa Kenya

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM , Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete aliyeambatana na Mkewe, Mama Sal...


Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete aliyeambatana na Mkewe, Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Kenya hapa nchini kufuatia kifo cha Mke wa Rais Mstaafu wa Kenya, Mhe. Nwai Kibaki, Mama Lucy Kibaki kilichotokea wiki iliyopita nchini Uingereza. Mwingine katika picha ni Naibu Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe. Boniface Muhia. Dkt. Kikwete anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye mazishi ya Mama Kibaki yatakayofanyika Nairobi, Kenya.
Mama Salama Kikwete naye akisaini Kitabu cha Maombolezo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dkt. Aziz Mlima naye akisaini kitabu cha maombolezo.
Rais Mstaafu, Dkt. Kikwete (wa pili kutoka kushoto) akimsikiliza Naibu Balozi, Mhe. Boniface Muhia (wa pili kutoka kulia), mara baada ya kumaliza kusaini kitabu cha maombolezo, Mama Salama Kikwete (wa kwanza kushoto) na Balozi Mlima nao wakimsikiliza Naibu Balozi.
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Samuel Shelukindo (wa kwanza kushoto) na Maafisa kutoka Ubalozi wa Kenya nao wakisikiliza kwa makini mazungumzo hayo
Dkt. Kikwete akiagana na Naibu Balozi, Mhe. Muhia Picha na Reginald Philip

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete asaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa Kenya
Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete asaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa Kenya
https://3.bp.blogspot.com/-VdEMwRBPpBk/VysnYyRyWbI/AAAAAAAAoIg/GTtpS8utwb4PEC8EF0RzXG9mWe6HHYE-wCLcB/s640/719A1111.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-VdEMwRBPpBk/VysnYyRyWbI/AAAAAAAAoIg/GTtpS8utwb4PEC8EF0RzXG9mWe6HHYE-wCLcB/s72-c/719A1111.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/rais-mstaafu-na-mwenyekiti-wa-ccm.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/rais-mstaafu-na-mwenyekiti-wa-ccm.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago