Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein kabla y...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein kabla ya
kuanza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI mjini
Dodoma leo Mei 2, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa
TAMISEMI mjini Dodoma leo Mei 2, 2016.Picha na IKULU