Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MKONGWE WA DANSI NCHINI, ZAHIR ALLY ZORO ATAKA MUZIKI WA DANSI KUFUFULIWA MKOANI MWANZA.

Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa dansi nchini Tanzania, Zahir Ally Zorro (Kushoto) akizungumza na George Binagi @BMG (Kulia). --- ...


Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa dansi nchini Tanzania, Zahir Ally Zorro (Kushoto) akizungumza na George Binagi @BMG (Kulia).

---
Mwanamuziki mkongwe wa dansi nchini, Zahir Ally Zorro, amewahimiza wadau wa muziki wa dansi Mkoani Mwanza, kuwaunganisha wanamuziki wa muziki huo ili kuurudisha kwenye chati kama zamani.

Alitoa kauli hiyo jana Jijini Mwanza, wakati akizungumza na BMG, ambapo alisema muziki wa dansi nchini umepotea sokoni hivyo jitihada zote zinafanyika ili kuurudisha katika soko, akitolea mfano Mkoani Mwanza ambapo kuna uhaba wa band za muziki wa dansi.

"Muziki wa dansi upo na tunajitahidi kuurudisha katika soko. Mwanza kuna vijana wengi wanafanya muziki wa dansi, wanaposhindwa kusikilizwa na media inauma sana hivyo ni vyema wakaunganishwa pamoja kwa ajili ya maendeleo ya muziki wa Mwanza". Alisema Zorro.

Mbali na hayo, Zorro ambae alianza muziki tangu mwaka 1968, yuko Jijini Mwanza kikazi ambapo leo jumamosi May 14,2016 atakuwa na show kali ndani ya Kilimanjaro Club iliyopo Nyegezi, atakapokuwa akinyukana na wenyeji wake Twiga Band.
Picha na Iman Hezron

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MKONGWE WA DANSI NCHINI, ZAHIR ALLY ZORO ATAKA MUZIKI WA DANSI KUFUFULIWA MKOANI MWANZA.
MKONGWE WA DANSI NCHINI, ZAHIR ALLY ZORO ATAKA MUZIKI WA DANSI KUFUFULIWA MKOANI MWANZA.
https://1.bp.blogspot.com/-yavn1oEMUU0/VzY9u7AvnYI/AAAAAAAALVg/6ysy2ZWuxf0W46sa7BOo5Vz0yqxg6FeRgCLcB/s640/1.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-yavn1oEMUU0/VzY9u7AvnYI/AAAAAAAALVg/6ysy2ZWuxf0W46sa7BOo5Vz0yqxg6FeRgCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/mkongwe-wa-dansi-nchini-zahir-ally-zoro.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/mkongwe-wa-dansi-nchini-zahir-ally-zoro.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago