Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAZISHI YA MZEE PIUS MKUNJA YAFANYIKA MKOANI MOROGORO.

Mazishi ya Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja (90), aliefariki April 25,2016 katika Hospitali ya Rufaa Bugando Mkoani Mwanza yamefanyika...


Mazishi ya Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja (90), aliefariki April 25,2016 katika Hospitali ya Rufaa Bugando Mkoani Mwanza yamefanyika Mkoani Morogoro. 

Marehemu Mzee Pius amezikwa jana nyumbani kwake Mpanga Kilombero. Alifariki kutokana na tatizo la vidonda vya tumbo lililokuwa likimsumbua. Enzi za Uhai wake alikuwa mfanyabiashara maarufu Mkoani Morogoro.
Katikati pichani juu ni Idda Adam ambae ni mmoja wa Watoto wa Marehemu Mzee Pius, akiwa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki katika mazishi hayo.

Kaburi la Marehemu Mzee Pius Joseph Mkunja
Wa kwanza kushoto ni Mtoto wa Marehemu Idda Adam akiwa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki katika mazishi hayo.
Tunatoa pole kwa wote walioguswa na msiba.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAZISHI YA MZEE PIUS MKUNJA YAFANYIKA MKOANI MOROGORO.
MAZISHI YA MZEE PIUS MKUNJA YAFANYIKA MKOANI MOROGORO.
https://2.bp.blogspot.com/-aCXBO7MiVRY/VyRhuBxRl-I/AAAAAAAALBg/vuu2lEdEWd8q9FP3xnzZQa51UN61kx--QCLcB/s640/1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-aCXBO7MiVRY/VyRhuBxRl-I/AAAAAAAALBg/vuu2lEdEWd8q9FP3xnzZQa51UN61kx--QCLcB/s72-c/1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/mazishi-ya-mzee-pius-mkunja-yafanyika.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/mazishi-ya-mzee-pius-mkunja-yafanyika.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago