Teddy Mapunda na Ndugu yake wakiwa pembeni mwa jeneza la mama yao mpendwa marehemu Benadette Izengo. Mkwe wa Marehemu mama Benade...

Teddy Mapunda na Ndugu yake wakiwa pembeni mwa jeneza la mama yao mpendwa marehemu Benadette Izengo.
Mkwe
wa Marehemu mama Benadette Izengo akishiriki ibada ya mazishi pamoja na
ndugu na jamaa wa familia kwenye kanisa la Mtakatifu Joseph jana.
Wajukuu wa marehemu wakishiriki ibada hiyo jana.

Wana familia wakiwa na majonzi kwa kuondokewa na mpendwa mama yao Marehemu Mama Benadette Izengo.
Wanafamilia
wakiwa katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa la Mtakatifu
Joseph jana jijini Dar es salaam na kufuatiwa na mazishi yaliyofanyika
kwenye makaburi ya Kinondoni.
Mwenyekiti
wa Chama cha UDP Mzee Jon Momose Cheyi akishiriki sakramenti ya bwana
kutoka kwa Father Kaombwe wakati wa ibada hiyo ya mazishi
Teddy
Mapunda na Mumewe Nestor Mapunda wakiwa na majozni huku wakiangalia
jeneza la mama yao mpendwa marehemu mama Benadette Izengo.
Baadhi ya waombolezaji wakishiriki mazishi kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Fathre
Matumaini akiongoza ibada ya mazishi ya Marehemu Mama Benadette Izengo
iliyofanyika kwenye kanisa la Mtakatifu Josepha jana.
Mke
wa Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete Mama Salma Kikwete akiweka mchanga
kaburini wakati aliposhiriki mazishi ya Marehemu Mama Benadette Izengo
yaliyofanyika jana kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Balozi Asha Rose Migiro akiweka mchanga kaburini wakati wa maishi ya marehemu mama Benadette Izengo
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanania Dk. Gharib Bilal wa
tatu kutoka kushoto na Mama Salma Kikwete wa kwanza kushoto wakishiriki
mazishi ya Merehemu Benadette Izengo mama wa Mkurugenzi wa kampuni ya
Montage Limited Teddy Mapunda aliyekaa katikati yao pamoja na
wanafamilia wengine wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye Makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es salaam baada ya ibada ya mazishi iliyofanyika
kwenye kanis kuu la Mtakatifu Joseph.

Kutoka
kushoto ni Jeseph Kusaga Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Enertainment,
Nandi Mwiyombela, Justin Pamba, Godfrey Kusaga na John Mbele nao
walishiriki katika mazishi hayo ya mama Bebadette Izengo.