Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI 2016 YAFANYIKA KITAIFA JIJINI MWANZA. Inbox

Bi.Valerie Msoka kutoka Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), akiongoza kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru w...

Bi.Valerie Msoka kutoka Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), akiongoza kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa mwaka 2016 yanayofanyika kitaifa katika hoteli ya ufukweni ya Malaika Jijini Mwanza.
Na George Binagi

Kauli mbiu ya Maadhimisho haya mwaka huu ni "Kupata Taarifa ni Haki yako ya Msingi:Idai'". Maadhimisho haya yanafanyika kitaifa kwa mara ya nne na yanalenga kukumbusha Umma na dunia kwa ujumla umuhimu wa vyombo vya habari kufanya kazi yake bila kuingiliwa na mtu ama chombo chochote. 

Zaidi ya wadau 250 wakihusisha waandishi wa habari wakongwe na wapya, wahariri, viongozi wa mashirika wahisani (ya kimataifa na ya hapa nchini) wawakilishi wa mihili ya nchi, wasomi wa vyuo vikuu na balozi mbalimbali wamekusanyika jijini hapa kwa maadhimisho hayo ambayo kilele chake ni kesho.
Watoa Mada katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2016 yanayofanyika Jijini Mwanza. Kilele cha Maadhimisho hayo kinafanyika kesho Mei 3,2016 ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman. Pia Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe. Nape Nhaute pamoja na wageni wengine waalikwa wanatarajia kuhudhuria maadhimisho hayo.

Usia Nkhoma Ledama ambae ni Afisa Habari kutoka UN Information Centre (Tanzania) akiwasilisha Mada katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yanayofanyika Kitaifa Jijini Mwanza.
Wanahabari na Wadau wa Habari wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari yanayofanyika Kitaifa Jijini Mwanza.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI 2016 YAFANYIKA KITAIFA JIJINI MWANZA. Inbox
MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI 2016 YAFANYIKA KITAIFA JIJINI MWANZA. Inbox
https://3.bp.blogspot.com/-b8wfZ5K4yDI/VycS-Xfmz_I/AAAAAAAALDo/IsCPLABGevUfHwgZ-p5jGthTV0izKsUAwCLcB/s640/1.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-b8wfZ5K4yDI/VycS-Xfmz_I/AAAAAAAALDo/IsCPLABGevUfHwgZ-p5jGthTV0izKsUAwCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/maadhimisho-ya-siku-ya-uhuru-wa-vyombo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/maadhimisho-ya-siku-ya-uhuru-wa-vyombo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago