Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

LUHWAVI AWASILI TANGA LEO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CHAMA WILAYA ZOTE ZA MKOA HUO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisalimiana na Kada wa CCM, Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella, alipowasili Ofisi ya CCM ...


Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisalimiana na Kada wa CCM, Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman
Vijana wa Umoja wa CCM mkoa wa Tanga, wakimfanyia mapokezi maalum, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi  alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman
Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Tanga, akila kiapo cha utiifu wakati walipomfanyia mapokezi rasmi Katibu Mkuu wa CCM- Bara, Rajabu Luhwavi,  alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman
Kijana wa  wa UVCCM, Mwanakombo Mwakulo akimvisha Skafu Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Bara, Rajab Luhwavi, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kulia ni kada wa CCM Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella Rajabu Luhwavi, 
Kijana wa UVCCM akimpigia saluti Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rajabu Luhwavi,   alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisindikizwa na Katibu wa CCM mkoa wa  alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. 
Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman akimwelkeza jambo Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akisalimiana na vijana waliompokea, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimsalimiana kwa furaha na Katibu wa CCM wilaya ya Muheza, Nassoro Moyo, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Wapili kulia ni Katibu wa CCM mkoa huo, Shija Othman.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiingia katika ukumbi wa ofisi ya CCM mkoa wa Tanga, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Baadhi ya watumishi wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa Tanga, wakiwa wamesimama kumlaki Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akiwa tayari ukumbini, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akiwa tayari ukumbini, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman na kulia ni Kada wa CCM Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella.
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga, Mathew Mganga akizungumza kumkaribisha ukumbini Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi alipowasili katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa CCM kutoka wilaya zote za mkoa wa Tanga leo
Wasanii wakichangamsha ukumbi kabla ya Luhwavi kuzungumza na watumushi wa CCM katika wilaya zote za mkoa wa Tanga
Wasanii wakichangamsha ukumbi kabla ya Luhwavi kuzungumza na watumushi wa CCM katika wilaya zote za mkoa wa Tanga
Msanii, Hassani akionyesha umahiri wake wa kuimba huku akiwa amevalia kisanii mavazi ya kike, kuchangamsha ukumbi kabla ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa wa Tanga leo.. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO --------

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: LUHWAVI AWASILI TANGA LEO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CHAMA WILAYA ZOTE ZA MKOA HUO
LUHWAVI AWASILI TANGA LEO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CHAMA WILAYA ZOTE ZA MKOA HUO
https://1.bp.blogspot.com/-KBC9vNVXMqY/VzcDFhOc92I/AAAAAAABIEo/Pzqk-AfQwkEgLffQweHUsdxNhiJjLkV5wCLcB/s640/DSC_1757%2BShija%2BOthman.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-KBC9vNVXMqY/VzcDFhOc92I/AAAAAAABIEo/Pzqk-AfQwkEgLffQweHUsdxNhiJjLkV5wCLcB/s72-c/DSC_1757%2BShija%2BOthman.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/luhwavi-awasili-tanga-leo-na-kuzungumza.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/luhwavi-awasili-tanga-leo-na-kuzungumza.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago