Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KATIBU WA BUNGE AKUTANA NA VIONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA NA SUMA - JKT, JIJINI DAR, UTENGENEZAJI WA MADAWATI YA SHULE NCHINI KUANZA MUDA WOWOTE

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashilila akiongea na Viongozi wa Jeshi la Magereza pamoja na SUM...

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashilila akiongea na Viongozi wa Jeshi la Magereza pamoja na SUMA - JKT kwenye Ofisi za Bunge, Jijini Dar es Salaam kuhusiana na namna walivyojipanga katika kutekeleza jukumu la utengenezaji wa Madawati ya shule hapa nchini.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashilila akiongoza mazungumzo na Viongozi wa Jeshi la Magereza pamoja na SUMA - JKT(hawapo pichani).
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, CGP John Casmir Minja(wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo wakifuatilia kwa makini mazungumzo na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Thomas Kashilila(hayupo pichani).
 Mtendaji Mkuu wa SUMA - JKT, Bregedia Jenerali C. Yateri akifuatilia mazungumzo hayo na Maofisa Watendaji wa Shirika hilo la SUMA - JKT.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, CGP John Casmir Minja akiteta jambo na Mtendaji Mkuu wa SUMA - JKT, Bregedia Jenerali C. Yateri walipokutana leo Mei 3, 2016 katika Ofisi za Bunge, Jijini Dar es Salaam(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KATIBU WA BUNGE AKUTANA NA VIONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA NA SUMA - JKT, JIJINI DAR, UTENGENEZAJI WA MADAWATI YA SHULE NCHINI KUANZA MUDA WOWOTE
KATIBU WA BUNGE AKUTANA NA VIONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA NA SUMA - JKT, JIJINI DAR, UTENGENEZAJI WA MADAWATI YA SHULE NCHINI KUANZA MUDA WOWOTE
https://1.bp.blogspot.com/-xP1PscN5nh0/Vyi6CHY8eMI/AAAAAAADhWQ/ZA0VeJ8XFR0Z-bO9fL8Gf5j9u567uSOuwCLcB/s640/PIX%2B2.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-xP1PscN5nh0/Vyi6CHY8eMI/AAAAAAADhWQ/ZA0VeJ8XFR0Z-bO9fL8Gf5j9u567uSOuwCLcB/s72-c/PIX%2B2.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/katibu-wa-bunge-akutana-na-viongozi-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/katibu-wa-bunge-akutana-na-viongozi-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago