Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

KATIBU MKUU KIONGOZI AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KINONDONI MWANANYAMALA DAR ES SALAAM

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando (kushoto), akitoa taarifa fupi kabla ya kumribisha Katibu Mkuu Kiongozi, Baloz...


Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando (kushoto), akitoa taarifa fupi kabla ya kumribisha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (katikati), wakati wa ziara yake ya siku moja ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kinondoni ya Mwananyamala Dar es Salaam  mchana. Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Michael John, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Ali Hapi.
Viongozi mbalimbali wakimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kijazi.
Mkutano ukiendelea.
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Makani ya Pentekosti (MMPT), Askofu Saldonie Sinde (katikati), akimkabidhi Katibu Mkuu magodoro 50 yaliyotolewa na Umoja wa Makanisa hayo kwa ajili ya kusaidia hispitali hiyo.Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kijazi (katikati), akienda kutembelea hospitali hiyo. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magembe.Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (kulia), akiwajulia hali wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kinondoni ya Mwananyamala alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja katika hospitali hiyo.
Katibu Mkuu Kiongozi akizungumza na viongozi mbalimbali katika ziara hiyo.
Hapa Katibu Mkuu Kiongozi akisikiliza malalamiko kutoka kwa wananchi waliofika katika hospitali hiyo kupata huduma (hawapo pichani)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: KATIBU MKUU KIONGOZI AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KINONDONI MWANANYAMALA DAR ES SALAAM
KATIBU MKUU KIONGOZI AFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KINONDONI MWANANYAMALA DAR ES SALAAM
https://1.bp.blogspot.com/-hPaJTlQ8fyI/V0cLdUy4J1I/AAAAAAAAWd8/7Z_U5IGO1qE-6QkgNcFrFV28Sly4FsCgwCLcB/s640/1.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-hPaJTlQ8fyI/V0cLdUy4J1I/AAAAAAAAWd8/7Z_U5IGO1qE-6QkgNcFrFV28Sly4FsCgwCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/katibu-mkuu-kiongozi-afanya-ziara.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/katibu-mkuu-kiongozi-afanya-ziara.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago