Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

GALA DINNER, FASHION SHOW, BURUDANI NA KUTOA VYETI KWA WADAU MBALIMBALI DICOTA 2016 DALLAS, TAXAS

 Mhe. Wilson Masilingi Balozi wa Tanzania nchini Marekani na mkewe Marystela Masilingi na wageni wao wakihudhuria gala Dinner ya DIC... Mhe. Wilson Masilingi Balozi wa Tanzania nchini Marekani na mkewe Marystela Masilingi na wageni wao wakihudhuria gala Dinner ya DICOTA  2016 iliyofanyika siku ya Ijumaa April 29, 2016 katika hotel ya Hyatt Regency Dallas, Texas nchini Marekani. Katika gala Dinner kulikuwepo Balozi alishiriki utoaji vyeti kwa wadau mbalimbali na yeye mwenyewe kupewa zawadi kutoka menej wa Turkish Air ambao walikua nikati ya wadhamini wa kongamano la DICOTA 2016. Picha na Vijimambo/Kwanza Production
Wageni waalikwa wakiwa kwenye gala dinner ya kongamano la DICOTA 2016.
Wadau waliohudhuria kongamano la DICOTA 2016 wakiwa kwenye Gala Dinner siku ya Ijumaa April 29, 2016 katika hotel ya Hyatt Regency Dallas, Texas nchini Marekani.
Gala Dinner ikiendelea.
 
 BALOZI WILSON MASILINGI AKIKABIDHI VYETI KWA WADAU MBALIMBALI
RAIS WA DICOTA NDAGA MWAKABUTA AKIPEWA ZAWADI MAALUM NA DICOTA KWA MCHANGO NA KAZI NZURI ANAYOIFANYA.
 SHIRIKA LA NDEGE LA TURKISH LIKITOA TIKETI YA NDEGE KWA MSHINDI AMBAYE ALIKUA NI STEVE KUTOKA MASSACHUSETTS NA WALITOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WADAU WA DICOTA AKIWEPO ZAWADI KWA MHE. BALOZI WILSON MASILINGI.
 BURUDANI
 


 FASHION SHOW 
 
 
Bwn. Lunda Asumani akitoa maelekezo kwa wadau mbalimbali waliokuja kuongea kwenye kongamano la DICOTA 2016 linalofanyika Dalaas, Texas nchini Mrekani. Picha na Vijimambo/Kwanza production.
Rais wa DICOTA Ndaga Mwakabuta akielezea malengo ya DICOTA kwenye kongamano la DICOTA 2016 lililofanyika siku ya Ijumaa April 29, 2016 katika hotel ya Hyatt Regency.
Bob Townsend concel member wa mji wa Richardson, Texas akiongea machche.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Wilson Masilingi akisoma hotuba ya Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa Diaspora.
Balozi Anisa Mbega Mkuu wa kitengo cha Diaspora Wizara ya mambo ya nje, Ushirikiano Afika Mashariki , Kikanda na Kimataifa akisoma hotuba ujumbe kutoka Wizara hiyo.


 CHINI NI JUMUIYA BAADHI YA VIONGOZI WA JUMUIYA ZA WATANZANIA USA

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: GALA DINNER, FASHION SHOW, BURUDANI NA KUTOA VYETI KWA WADAU MBALIMBALI DICOTA 2016 DALLAS, TAXAS
GALA DINNER, FASHION SHOW, BURUDANI NA KUTOA VYETI KWA WADAU MBALIMBALI DICOTA 2016 DALLAS, TAXAS
https://1.bp.blogspot.com/-xQ6WxO6IpQo/VySKrmxDbHI/AAAAAAAESRg/B_xLfNEFz_M6RQy7XYr60uWcIPPAu0rlQCLcB/s640/IMG_4347.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-xQ6WxO6IpQo/VySKrmxDbHI/AAAAAAAESRg/B_xLfNEFz_M6RQy7XYr60uWcIPPAu0rlQCLcB/s72-c/IMG_4347.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/05/gala-dinner-fashion-show-burudani-na.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/05/gala-dinner-fashion-show-burudani-na.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago