Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTNO WA ALAT.

  Wasanii wa kikundi cha Nyota cha Dodoma  wakitumbuiza katika Mkutano Mkuu Malum wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa kwenye Kituo cha Miku...

  Wasanii wa kikundi cha Nyota cha Dodoma  wakitumbuiza katika Mkutano Mkuu Malum wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma  mjini Dodoma Aprili  8,2016.
  Waziri mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Edwin  Rutageruka wakati alipotembelea abanda la maonyesho  la TANTRADE kabla ya kufungua Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Tawala  za Mitaa (ALAT) kwetuo cha Mikutano cha Dodoma  Aprili  8, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa (ALAT), Gulam Mkadam Taarifa ya Utafiti  kuhusu Sekta ya Umma na Binafsi kwenye serikali za Mitaa wakati alipoizindua baada ya kufungua Mkutano Mkuu Maalum wa uchaguzi wa Jumuiya ya Tawla za Mitaa Tanzania (ALAT) kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa cha  Dodoma  Aprili 8, 2016. Kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawla za Mikoa na Serikali za Mitaa Suleiman Jafo.
 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Suleiman Jafo kizungumza kabla ya kumakribisha Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kufungua Mkutano Maalum wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Dodoma Aprili 8, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akizungumza wkati alipofungua mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania  (ALAT) kwenye  Kituo cha Mikutano cha Dodoma Aprili 8, 2016.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa  Jumuiya ya Tawala za Mikoa (ALAT) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma Aprili 8, 2016.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTNO WA ALAT.
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTNO WA ALAT.
https://1.bp.blogspot.com/-P-fMjKGErWk/VwfMitfMPzI/AAAAAAADgxg/oI8CkxFEpt8Fo7mLpMtjqGShO1wS0cjPw/s640/IMGS0610.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-P-fMjKGErWk/VwfMitfMPzI/AAAAAAADgxg/oI8CkxFEpt8Fo7mLpMtjqGShO1wS0cjPw/s72-c/IMGS0610.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/waziri-mkuu-majaliwa-afungua-mkutno-wa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/waziri-mkuu-majaliwa-afungua-mkutno-wa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago