Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFANYA ZIARA KWENYE JIMBO LAKE LA UCHAGUZI LA RUANGWA

 Waziri Mkuu, KassimMajaliwa akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano ...

 Waziri Mkuu, KassimMajaliwa akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa hadhara Aprili 10, 2016.
 Mmoja wa wananchi wa  kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa (jina halikupatikana) akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aipohutubia mkutano wa hadhara  kijijini hapo, Aprili 10, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016.
  Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akisalimiana na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa.
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa na Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi  wakizungumza   na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFANYA ZIARA KWENYE JIMBO LAKE LA UCHAGUZI LA RUANGWA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFANYA ZIARA KWENYE JIMBO LAKE LA UCHAGUZI LA RUANGWA
https://1.bp.blogspot.com/-XKW4NBty43M/VwtaiNhvXdI/AAAAAAADg5A/S-aiiD4s_N0eflgXT1bubn-xTF2LhAmHw/s640/MONG1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-XKW4NBty43M/VwtaiNhvXdI/AAAAAAADg5A/S-aiiD4s_N0eflgXT1bubn-xTF2LhAmHw/s72-c/MONG1.jpg
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-afanya.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-afanya.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago