Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA KIFUSI.

  Watu wakiwa wamekisanyika katika eneo la tukio kusaidia zoezi la uokoaji. Wananchi wakishiriki kuokoa miili ya watu waliofukiwa na ...

 Watu wakiwa wamekisanyika katika eneo la tukio kusaidia zoezi la uokoaji.
Wananchi wakishiriki kuokoa miili ya watu waliofukiwa na kifusi katika eneo la Ukwamani Kawe jijini Dar es Salaam  leo.
 
Zoezi la uokoaji likiendelea
Wananchi wakishirikiana na wafanyakazi wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji kutafuta watu waliofukiwa na kifusi.
 Wananchi wakiwa wamebeba mwili wa mmoja wa watu waliofariki kwa kuangukiwa na kifusi eneoa Ukwamani Kawe jijini Dar es Salaam, leo.
  Kikosi cha uokoaji kikishiriki kuopoa miili iliyoangukiwa na kifusi.
  Wafanyakazi wa Uokoaji wakiwa wamebeba mwili wa mmoja waliofariki katika ajali ya kuangukiwa na kifusi leo.
 Kamanda  wa Polisi  Mkoa  wa Kinondoni, Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Christopher Fuime akiwasili katika eneo Kawe Ukwamani ambapo nyumba moja iliangukiwa na kifusi na kusababisha vifo vya watu wanne na majeruhi watano, tukio hilo limetokea leo alfajiri jijini Dar es Salaam
Kamanda  wa Polisi  Mkoa  wa Kinondoni, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP Christopher Fuime akitoka katika kusaiia kazi ya uokoaji wa watu wanne waliofariki kwa kufukiwa na kifusi eneo la  Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA KIFUSI.
WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA KIFUSI.
https://1.bp.blogspot.com/-E6WDLIZAph8/VwUnt8PiPZI/AAAAAAADguE/h6gvL37Z-5YPIGgnqof_SLbrc7QtS_1rA/s640/IMG_4310.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-E6WDLIZAph8/VwUnt8PiPZI/AAAAAAADguE/h6gvL37Z-5YPIGgnqof_SLbrc7QtS_1rA/s72-c/IMG_4310.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/watu-wanne-wafariki-dunia-kwa.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/watu-wanne-wafariki-dunia-kwa.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago