Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WANAWAKE WAFANYABIASHARA MASOKONI WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KATIKA MAENEO YAO YA BIASHARA

  Mwenyekiti wa Soko la Kisutu Tamimu Chande akizungumza katika Kampeni ya Kuongeza uelewa wa kupinga ukatili wa Kijinsia katika Soko l...


 Mwenyekiti wa Soko la Kisutu Tamimu Chande akizungumza katika Kampeni ya Kuongeza uelewa wa kupinga ukatili wa Kijinsia katika Soko la Kisutu Dar es Salaam leo asubuhi. Kampeni hiyo inaendeshwa na Shirika la Eqiuality for Growth (EfG).
Mmoja wa kiongozi wa Soko la Kisutu akifungua mkutano wa kampeni hiyo.
Meneja wa Mradi huo kutoka Shirika la Equality for Growth, Grace Mateh akizungumza kwenye kampeni hiyo.
Mfanyabiashara wa Soko hilo, Bazalo Tazoni akizungumza katika kampeni hiyo.
Ofisa Maendeleo wa Kata ya Mchafukoge, Domonica Balama akizungumza katika kampeni hiyo.
Mfanyabiashara katika Soko hilo, Charles Mloka akichangia jambo kwenye kampeni hiyo kuhusu wanawake wafanyabiashara kujitambua kuhusu ukatili wa jinsia masokoni.
Mfanyabiashara Godfred Kijange akichangia kuhusu wanawake kuwa chanzo cha ukatili wa kijinsia.
Katibu wa Soko la Kisutu, Suitebet Nyawalle akizungumzia kuhusu vitendo vya ukatili masokoni.
Katibu wa Soko la Kisutu, Suitebet Nyawalle akiserebuka na wasanii wa kundi la machozi katika kampeni hiyo.
Wasanii wa kundi la machozi wakitoa burudani katika kampeni hiyo.
Taswira katika kampeni hiyo.
Burudani zaidi kutoka kundi la machozi zikiendelea hapo ni Babu na Bibi wakifanya vitu vyao.
Igizo la kupinga ukatili wa kijinsia kutoka kundi la machozi likifanyika.

Mfanyabiashara wa Soko hilo Editha Mtembei akichangia jambo.
Vijana wakishangia kwenye kampeni hiyo.
Picha ya pamoja kati ya viongozi wa soko hilo na viongozi kutoka EfG.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WANAWAKE WAFANYABIASHARA MASOKONI WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KATIKA MAENEO YAO YA BIASHARA
WANAWAKE WAFANYABIASHARA MASOKONI WATAKIWA KUWA CHACHU YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KATIKA MAENEO YAO YA BIASHARA
https://4.bp.blogspot.com/-UyVwDIB8TLw/VwuS9c5PZWI/AAAAAAAAV-4/XljfXqSVd90xeFCi2JP6_jP-1_cAJryVQ/s640/1.JPG
https://4.bp.blogspot.com/-UyVwDIB8TLw/VwuS9c5PZWI/AAAAAAAAV-4/XljfXqSVd90xeFCi2JP6_jP-1_cAJryVQ/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/wanawake-wafanyabiashara-masokoni.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/wanawake-wafanyabiashara-masokoni.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago