Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

WABUNGE WATAKA MWEKEZAJI MAKINI MGODI WA KIWIRA

  Sehemu ya eneo la Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira uliopo mkoani Mbeya.   Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Ma...

  Sehemu ya eneo la Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira uliopo mkoani Mbeya.
  Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini, wakiwa katika ziara kukagua Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira mkoani Mbeya hivi karibuni.
  Kutoka Kulia (mbele), ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini, Ussi Pondeza, Mjumbe wa Kamati na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige pamoja na Meneja Mkuu wa Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira, Evans Mwakambonja, wakati wa ziara ya Kamati husika kukagua mgodi huo hivi karibuni.
 Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Mwalimu Zainabu Mbussi (katikati), akizungumza na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini, wakati wa ziara ya Kamati hiyo mkoani Mbeya hivi karibuni, kukagua Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira.
  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini, walipofika ofisini kwake hivi karibuni, wakiwa katika ziara mkoani humo kukagua Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira.
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Profesa James Mdoe, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati na Madini wakati wa ziara yao kukagua Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira uliopo mkoani Mbeya, hivi karibuni.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: WABUNGE WATAKA MWEKEZAJI MAKINI MGODI WA KIWIRA
WABUNGE WATAKA MWEKEZAJI MAKINI MGODI WA KIWIRA
https://1.bp.blogspot.com/-Sj23EqfB6ZM/VwUpnj5o-HI/AAAAAAADgvA/GzfxlZ1_dGABdBcc7S0wi9voPFBgFaiXA/s640/Pic%2B6.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-Sj23EqfB6ZM/VwUpnj5o-HI/AAAAAAADgvA/GzfxlZ1_dGABdBcc7S0wi9voPFBgFaiXA/s72-c/Pic%2B6.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/wabunge-wataka-mwekezaji-makini-mgodi.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/wabunge-wataka-mwekezaji-makini-mgodi.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago