Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

VIJANA WA KITANZANIA WASHIRIKI MAFUNZO YA UWEZESHAJI KWA VIJANA JIJINI BEJA, NCHINI URENO

Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja walipotembelea kiwanda cha kuchakata taka cha Resialentejo, wakiongozwa na Injinia wa kiwand...

Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja walipotembelea kiwanda cha kuchakata taka cha Resialentejo, wakiongozwa na Injinia wa kiwanda hicho Pedro Sobral.
Wahsiriki wakiwa katika picha ya pamoja walipotembelea Halimashauri ya Manispaa ya Jiji la Beja ambao walipokelewa na Sonia Calvario Mshauri wa Meya wa Manispaa hiyo
Mkurugenzi wa TYCEN, Chris Ndalo kutoka Tanzania akitoa mada wakati mafunzo hayo
Mmoja wa wawezeshaji katika mafunzo hayo, Olga  Kuczynska

Rais wa taasisi ya Check In, Antonio Gomes akizungumza na washiriki katika mafunzo hayo

Picha ya pamoja ya washiriki
--
 Vijana watano kutoka Tanzania ni miongoni mwa vijana 30 wanaoshiriki katika mafunzo ya wawezeshaji wa ujasiliamali unaozingatia mazingira yanayofanyika jijini Beja, nchini Ureno.

Mafunzo hao ambayo yanafanyika kwa muda wa siku saba yanalenga kuwajengea uwezo vijana hao kuendesha mafunzo kwa vijana wenzao katika nchi wanakotoka ili kusaidia kupunguza tatizo la ajira na uharibifu wa mazingira.

Nchi zinazoshiriki mafunzo hayo na majina ya taasisi zinazoshiriki kwenye mabano ni pamoja na wenyeji Ureno (Check In), Italia (Cesie), Argentina (Subiral Sur), Slovenia (Pina), Nepal (CNN) na Tanzania (TYCEN) ambapo kila nchini imewakilishwa na vijana watano chini ya mradi wa ujasiliamali wa kujali mazingira ‘Green Entrepreneurship’.

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: VIJANA WA KITANZANIA WASHIRIKI MAFUNZO YA UWEZESHAJI KWA VIJANA JIJINI BEJA, NCHINI URENO
VIJANA WA KITANZANIA WASHIRIKI MAFUNZO YA UWEZESHAJI KWA VIJANA JIJINI BEJA, NCHINI URENO
https://2.bp.blogspot.com/-ecRiJP6pooE/Vw5g1tjpGQI/AAAAAAAAHOg/qorX1jLE3KI_y2Q-iBilaD0Jj4pjPY0FwCLcB/s640/48.JPG
https://2.bp.blogspot.com/-ecRiJP6pooE/Vw5g1tjpGQI/AAAAAAAAHOg/qorX1jLE3KI_y2Q-iBilaD0Jj4pjPY0FwCLcB/s72-c/48.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/vijana-wa-kitanzania-washiriki-mafunzo.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/vijana-wa-kitanzania-washiriki-mafunzo.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago