Archive Pages Design$type=blogging

How to make a Website

UKATILI WA KIJINSIA SOKO LA TEMEKE STEREO JIJINI DAR ES SALAAM BADO KUNA CHANGAMOTO KUBWA

  Katibu wa Soko la Temeke AStereo, Omary Seif Mangilile akizungumza katika kapmpeni ya kuongeza uelewa dhidi ya ukatili wa kijinsia ma...


 Katibu wa Soko la Temeke AStereo, Omary Seif Mangilile akizungumza katika kapmpeni ya kuongeza uelewa dhidi ya ukatili wa kijinsia masokoni iliyofanyika katika soko la Temeke Stereo Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Meneja wa Mradi huo wa kupinga ukatili huo, Grace Mateh  kutoka Shirika la Equality for Growth (EfG). Hata hivyo katika soko hilo bado kunachangamoto kubwa ya vitendo hivyo vya ukatili wa kijinsia hasa kwenye eneo la wauza mihogo kama ilivyoelezwa na baadhi ya wafanyabiashara katika soko hilo.
 Ofisa Ufuatiliaji na Tathimini wa EfG, Julius Samora akifafanua mambo kadhaa yanayohusu ukatili wa kijinsia katika kampeni hiyo.
Mwezeshaji katika kampeni hiyo Maulid Sufian akiongoza kupokea maswali na kujibu.
Wasanii wa kundi la Machozi la Temeke wakitoa burudani kwenye kampeni hiyo.
Wananchi, wafanyabiasha na wadau wengine wakiwa kwenye kampeni hiyo.
Wananchi, wafanyabiasha na wadau wengine wakiwa 
kwenye kampeni hiyo.
Msanii wa kundi hilo, akionesha umahiri wa kula kwa kutumia mguu wake.
Wasanii wa kundi hilo wakionesha igizo la ukatili wa kijinsia masokoni.
Mfanyabiashara wa soko hilo Mariam Mkula akizungumzia ukatili wa kijinsia unavyofanyika katika soko hilo.
Mfanyabiashara katika soko hilo, Faudhia Maneno akizungumzia ukati wa kijinsia unavyofanyika katika soko hilo.
Bashir Ismaili akichangia jambo kwenye kampeni hiyo.
Hamisi Mnipa akichangia jambo kuhusu ukatili huo ambapo alidai chanzo cha ukatili huo ni wanawake wenyewe kwa kuvaa mavazi yanayoonesha sehemu kubwa ya maungo yao.
Mfanyabiashara katika soko hilo akizungumzia vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo hasa kwa upande wa mama lishe.
Taswira ya jukwaa kubwa.
Muuza chakula katika soko hilo, Neema Saidi akizungumzia changamoto  wanazokumbana nazo za ukatili wa kijinsia hasa pale wanapokwenda kudai fedha kwa wateja baada ya kula chakula.
Vijana katika soko hilo wakichangilia mada zilizokuwa zikitolewa katika kampeni hiyo.

(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

COMMENTS

Name

9 Habari hii na Leila Abdul Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Bungeni leo mjini Dodoma.Na Msimbe Lukwangule Mahafali Picha na Mdau Abdallah Mrisho Salawi tangazo Uchambuzi huu kwa Msaada wa Dr Faustine Update kutoka Dodoma na Msimbe Lukwangule zilipendwa
false
ltr
item
H@ki Ngowi: UKATILI WA KIJINSIA SOKO LA TEMEKE STEREO JIJINI DAR ES SALAAM BADO KUNA CHANGAMOTO KUBWA
UKATILI WA KIJINSIA SOKO LA TEMEKE STEREO JIJINI DAR ES SALAAM BADO KUNA CHANGAMOTO KUBWA
https://3.bp.blogspot.com/-OD72XqNADjQ/Vw5B5HWbIzI/AAAAAAAAWBw/mm8RA8ZiTXINTr48OR9-Xuao8WIidsF4gCLcB/s640/1.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-OD72XqNADjQ/Vw5B5HWbIzI/AAAAAAAAWBw/mm8RA8ZiTXINTr48OR9-Xuao8WIidsF4gCLcB/s72-c/1.JPG
H@ki Ngowi
http://www.hakingowi.com/2016/04/ukatili-wa-kijinsia-soko-la-temeke.html
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/
http://www.hakingowi.com/2016/04/ukatili-wa-kijinsia-soko-la-temeke.html
true
5996140674267894691
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago